Recent content by mshamba_mwingine

  1. mshamba_mwingine

    Kama umesoma kwenye moja ya hizi university hapa wewe ni mwamba

    Hawa wana sheria yao ya "swim or sink"—wanapokea wanafunzi wengi kwasababu hawana ada kwahiyo wanawachuja ipasavyo kwa mitihani migumu. 50% hawamalizi.
  2. mshamba_mwingine

    Kama umesoma kwenye moja ya hizi university hapa wewe ni mwamba

    Sema hizo elimu kubwa za nje kuna namna hazisaidii mazingira ya huku ya kifisadi. Andrew Chenge ana LLM kutoka Harvard cheki scandal alizopata. Unaweza kuamini Dr. Mohamed Bilal ana MA na PhD za fizikia kutoka UC Berkley! Dah.
  3. mshamba_mwingine

    Kama umesoma kwenye moja ya hizi university hapa wewe ni mwamba

    Hongera mkuu kwa kuhitimu chuo cha ivy league. Hata sasa hivi naona vijana wanamaliza vyuo vikubwa huko na wanarudi, japo inataka moyo sana.
  4. mshamba_mwingine

    Kama umesoma kwenye moja ya hizi university hapa wewe ni mwamba

    Hivyo vya kimarekani kasoro UC Berkley na U Chicago vina watanzania kadhaa kwasababu vinatoa sana ufadhili. Hivyo vya UK walivioshea kina nyerere enzi za ukoloni sasa hivi hakuna ufadhili, watu wanasoma masters kwa uchache sana. Masters za UK ni mwaka tu kwahiyo unakuwa kama umeonjeshwa na...
  5. mshamba_mwingine

    Kama umesoma kwenye moja ya hizi university hapa wewe ni mwamba

    Duh, uliwezaje mkuu kufanya maombi au ulisoma hizi international schools
  6. mshamba_mwingine

    Nashindwa kumfundisha mwanangu jinsi ya kujikinga na unyanyasaji wa kingono

    1. Kuwa karibu sana na mwanao ili asiogope kukuambia chochote. 2. Mfundishe kuhusu sehemu zake za siri. Unaweza kutumia maneno mepesi kama 'kikojoleo', 'kalio' nk na umueleze kwamba hakuna mtu yeyote anaruhusiwa kuzishika bila wewe kuwepo. 3. Mueleze kwamba hakuna mtu mzima yeyote anaruhusiwa...
  7. mshamba_mwingine

    Ni zipi filamu zako bora za mwaka 2025?

    Sinners inabidi niirudie sikutulia wakati naiangalia
  8. mshamba_mwingine

    Ni zipi filamu zako bora za mwaka 2025?

    Ulienda theatre?
  9. mshamba_mwingine

    Ni zipi filamu zako bora za mwaka 2025?

    Sehemu moja tu.
  10. mshamba_mwingine

    Ni zipi filamu zako bora za mwaka 2025?

    final destination ilikuwa ya kawaida bwana F1 ina uzuri gani? Sijaiona NeZha 2 naipataje?
  11. mshamba_mwingine

    Ni zipi filamu zako bora za mwaka 2025?

    Filamu zangu za mwaka ni; 1. Superman(2025) Wamemuonesha superman kwa usahihi kama alivyo kwenye vitabu. Mpole, anayejali watu na ni ishara ya matumaini. 2. Mickey 17(2025) Inaelezea vizuri kuhusu thamani ya utu. Inafikirisha kuhusu baadhi ya vitu, inachekesha pia 3. Edge of Tomorrow(2014)...
  12. mshamba_mwingine

    Umuhimu wa A level kwangu ni huu

    Tukisema 'kusoma nje' tunamaanisha umeenda kutafuta fursa kubwa ulaya na marekani huko. Sio Kenya na India ambapo ni hadhi sawa na hapa.
  13. mshamba_mwingine

    Umuhimu wa A level kwangu ni huu

    Tukisema 'kusoma nje' tunamaanisha umeenda kutafuta fursa kubwa ulaya na marekani huko. Sio Kenya na India ambapo ni hadhi sawa na hapa.
  14. mshamba_mwingine

    Umuhimu wa A level kwangu ni huu

    Kenya nayo ni nchi ya nje?😅
Back
Top Bottom