Recent content by mshamba flani

  1. M

    Sitta atimuliwa nyumba ya Serikali

    S Siyo manzese manzese kama ulivyozea ni Masaki ila kuna mtaa unaitwa manzese acha kupotosha uma wewe
  2. M

    TANESCO: Katizo la umeme mkoa wa Kinondoni Kaskazini

    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo. TAREHE: 27 Juni, 2016. (JUMATATU) SAA: 3:00 asubuhi hadi 10:00 jioni SABABU...
  3. M

    shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)

    Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linaomba radhi kwa wateja wake wote wa mkoa wa Temeke kwa kukosa umeme hii inatokana Kutokea kwa hitilafu Kwenye kituo cha kupoozea umeme cha kurasini na mbagala, Mafundi wanaendelea na matengenezo.Maeneo yanayoathirika ni Kurasini yote,Mbagala yote,Mtoni...
  4. M

    Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

    Aliyekwambia kuwa kufeli form 6 ndo umefeli kila kitu nani. Sasa si eli yeye aliyefeli form 6 lakini mambo take yanenda vizuri mpaka kaaminiwa na chama tawala
  5. M

    Waziri Muhongo apiga marufuku wafanyakazi wa wizara yake kupewa bonus

    Baadhi ya maamuzi ya kisiasa ya WAZIRI ni kufuta service charge jiulize maswali haya kwanza upate uelewa 1. Ni sababu zipi ziliwafanya TANESCO wa-introduce service charge? Nini kimebadilika mpaka zikaondolewe? Mtapoteza kiasi Gani? Lengo ni nini? As we speak shirika linaendeshwa kwa hasara tena...
  6. M

    Waziri Muhongo apiga marufuku wafanyakazi wa wizara yake kupewa bonus

    Wewe Percival unacho kisema hujielewi bonus zipo kila mahali mpaka kwenye familia mtoto anayefanya vizuru hupewa bonus ije kuwa kwenye shirika acheni wevu na Kazi za watu
  7. M

    Waziri Muhongo apiga marufuku wafanyakazi wa wizara yake kupewa bonus

    WAZIRI aache kuingilia utendaji wa TANESCO, aache siasa za fitina kwa wafanyakazi wa TANESCO. Bonasi zinakuwepo kwenye mikataba na hana mamlaka ya kuvunja mikataba sana zaidi anafanya maigizo na kukurupuka. Yeye alirudisha fedha za mgao wa Escrow? Ama ndizo zimemsaidia kupata ubunge then...
  8. M

    Waziri Muhongo apiga marufuku wafanyakazi wa wizara yake kupewa bonus

    Kwanza kabisa sioni tatizo na bonus kwa watumishi wa uma as long as wanafanya vizuri japo siamini kama kuna mtu anlipwa kiasi hicho cha pesa kwa ajili ya bonus kwani ni kikubwa sana. Ila na pia wewe mtoa mada yakupasa ufikili kabla ya kusema huwezi linganisha malipo binafisi na ununuzi wa Nguzo...
  9. M

    TANESCO ya Kimara, Mbezi ni jipu lililoiva ila hakuna wa kupasua

    Pole sana Ila kama hutojali naweza kupata Namba yako ili tuweze kukusaidia
  10. M

    Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)

    KATIZO LA UMEME – ILALA Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linapenda kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:- TAREHE: 20/03/2016 JUMAPILI MUDA: Saa 03:00 Asubuhi hadi 11:00 jioni. SABABU; KUFANYA MATENGENEZO KWENYE KITUO...
  11. M

    Ni kweli TANESCO hakuna majipu yanayohitaji kutumbuliwa kwa haraka?

    Wewe unajiita kijana Wa Leo kwanza pole sana ila si vizuri kuuposha uma wa watanzania kua kuna mgao Wa Umeme na Wakati hakuna ilo ni jibu tosha kukupa jibu swali lako ulilo uliza kuha hakuna jipu na kibaya zaidi unapo sema shirika limeshindwa kujiendesha pia ni uongo maana lingeshindwa...
  12. M

    TANESCO: Taarifa ya kukosekana kwa umeme katika baadhi ya maeneo katika mkoa wa Ilala

    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA ILALA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Ilala kuwa line za Umeme za TOL, D7, D11 na Ilala kwenda Kurasini zimezimwa leo Machi 10,2016...
  13. M

    Tangazo: Katizo la umeme mkoa wa Kinondoni kusini

    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA TAARIFA KWA UMMA TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINI Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme Siku ya Alhamis Machi 10, 2016 kuanzia saa 2.00 asubuhi hadi saa...
Back
Top Bottom