mshamba flani
Member
- Mar 9, 2016
- 14
- 11
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linaomba radhi kwa wateja wake wote wa mkoa wa Temeke kwa kukosa umeme hii inatokana Kutokea kwa hitilafu Kwenye kituo cha kupoozea umeme cha kurasini na mbagala, Mafundi wanaendelea na matengenezo.Maeneo yanayoathirika ni Kurasini yote,Mbagala yote,Mtoni kijichi,Mbagala kuu,Mgeni nani na maeneo ya jirani. Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wote uliojitokeza. Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano Makao Makuu