TANESCO: Katizo la umeme mkoa wa Kinondoni Kaskazini

mshamba flani

Member
Mar 9, 2016
14
11
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo.

TAREHE: 27 Juni, 2016. (JUMATATU)
SAA: 3:00 asubuhi hadi 10:00 jioni
SABABU: Kuzimwa kwa laini za Mikocheni (MK 1 & MK 4), kwa ajili ya kubadili nguzo zilizooza na nyaya zilizochakaa ili kudhibiti hali ya kukatika kwa umeme mara kwa mara.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Baadhi ya maeneo ya Mikocheni, Mwenge, Sinza, na Kawe, Baraka plaza, AAR, Kwa Ridhuwani, Kwa Mwalimu, Kwa mwinyi, Regency park hotel, Clouds Media Group, Msasani club, Peckers pamoja na maeneo ya jirani.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo: -

Dawati la dharura Mkoa wa Kinondoni Kaskazini: 022 2701602, 0784 768584, 0716 768584 au namba za kituo cha miito ya simu 2194400 na 0768 985100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza

Imetolewa na:- OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU
 
Be careful in typing there's great errors.h bt sms sent & derived
 
Back
Top Bottom