Tangazo: Katizo la umeme mkoa wa Kinondoni kusini

Tangazo: Katizo la umeme mkoa wa Kinondoni kusini

mshamba flani

Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
14
Reaction score
11
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA





TAARIFA KWA UMMA

TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINI

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme Siku ya Alhamis Machi 10, 2016 kuanzia saa 2.00 asubuhi hadi saa 11.00jioni.

SABABU: Kubadilisha nguzo zilizooza katika njia kubwa ya umeme na Kufanya matengenezo
Katika kituo cha kupozea umeme cha Ubungo.

Maeneo yatakayoathirika:-
(NORDIC 1 na NORDIC 2) ambazo ni njia za umeme zinazolisha maeneo ya Ubungo, Kibangu, Kibo, Kimara, Mbezi, Kibamba pamoja na Kibwegele.


Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 0784271461, 0715271461, Ofisi za Wilaya Kimara 0788/0717-379696 Au Kituo cha Miito ya Simu 2194400 or 0768 985100

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Imetolewa na:
OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO MAKAO MAKUU.
 
Back
Top Bottom