Recent content by mseto2006

  1. M

    Wanaume tunaopenda kuvaa suti njooni tushauriane jinsi ya kuchagua rangi na aina za suti nzuri

    Hivi Arusha ni sehemu gani naweza pata fundi mzuri wa kushona suti kali kabisa
  2. M

    Hongera Rais Magufuli kwa hili la mchanga wa dhahabu

    Mkuu sina habari izo ebu ziweke wazi mbona nchi hii ina maudhi kiasi hicho
  3. M

    Hongera Rais Magufuli kwa hili la mchanga wa dhahabu

    Mkuu kwani kuna tatizo gani kwenye uzi wangu ni maoni yangu tu
  4. M

    Hongera Rais Magufuli kwa hili la mchanga wa dhahabu

    Ndugu zangu kwa mara ya kwanza nimekuwa nafatilia sakata la mchanga wa dhahabu naungana na Rais Magufuli kama kweli makontena yalikuwa na madini yenye thamani ya trillion 1.2 na kila mwezi yanaondoka kama aya tena zaidi ya miaka 17 hapa sisi kama nchi lazima tuungane kwa pamoja bila kuweka...
  5. M

    Tengeneza body scrub nyumbani kwako

    Kwa mimi sikuisaga sukari nilitumia ivo ivo afu unaacha robo saa au dak 30
  6. M

    Tengeneza body scrub nyumbani kwako

    Kwa mimi sikuisaga sukari nilitumia ivo ivo afu unaacha robo saa au dak 30
  7. M

    Tengeneza body scrub nyumbani kwako

    Sukari, asali na pamoja na ndimu iko poa sana.
  8. M

    The Greatest JF intelligent man

    The bold sijawai soma story zake nikachoka ila sikukubaliana nae kwenye story kuhusu North korea ila kiongozi yuko poa sana
  9. M

    Korea Kaskazini yarusha Kombora na inadaiwa kuwa limetua katika Sayari

    Binafsi sijaona kosa la north korea hiyo ni technologia yake kwanini wampangia mbona marekani alifanya majaribio yake juzi juzi wala sikuskia kelele
  10. M

    Moon ala kiapo cha kuongoza Korea kusini

    Mh! Ngoja tusubiri tuone
  11. M

    CHADEMA na UKAWA waachane na siasa nyepesi, 2020 inakaribia

    Swala linalotakiwa na vyama vya upinzani ni kudai tume huru ya uchaguzi na matokeo yake kuhojiwa mahakama tukianzia hapo mambo mengine yatafuata
Back
Top Bottom