Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
Hali zenu wote wana JF.
Zifuatazo ni body scrub zitakazokutakatisha mwili,matumizi yake ni kila wiki mara moja.
UNGA WA KAHAWA NA MAFUTA YA NAZI.
vichanganye vyote ivo upate ujazo ambao uwe paste nzito,then uscrub mwili wote.
SUKARI,ASALI NA NDIMU AU LIMAU.
sukari vijiko vinne,asali vijiko vtatu na ndimu moja.changanya upate paste yake then scrub mwili wako.
UNGA WA MCHELE,MAJI NA ASALI.
Unga wa mchele vijiko 4,Asali vijiko viwil na maji itaongeza kias mpk upate nzito.
CHUMVI MAFUTA YA NAZI NA LIMAU
Vijiko vitano chumvi,vijiko vinne mafuta na limau au ndim moja.
Tumia kati ya hizo scrub mara moja kwa wiki .
Shukran.