Recent content by Msemakweli Mtokambali

  1. M

    Chief Godlove ni mtu wa wapi?

    Siku zote mganga hukupa masharti ambayo ni magumu. Mwanzo ukiwa huna hela unaweza fikiri kuwa utayamudu lakini ukizipata unatamani kuyavunja hapo ndio unaanza kuukaribisha wehu.
  2. M

    Chief Godlove ni mtu wa wapi?

    Tumetofautiana Mkuu labda mwenzetu anapenda misosi na sio mbususu[emoji1787][emoji1787]
  3. M

    Chief Godlove ni mtu wa wapi?

    Nijuacho dogo ni mzaliwa wa Ipinda Kyela, familia yake ni wakulima pia baba yake ni muinjilisti. Tangu aje mjini hana miaka mitano. Nisikiavyo ni kuwa dogo pesa yake ni ya Kwa mganga. Sharti alilopewa ni kutopiga tunda hata kimasihara[emoji1787][emoji1787].
  4. M

    INAUZWA Boma linauzwa Kigamboni

    Kigamboni sehemu gani? Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  5. M

    Yah. Kuiua na kuifuta katika kazi zangu kampuni yangu ya Musicpress

    Naona umerudi tena kwa speed ya jet Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  6. M

    Natafuta kazi za ndani Dar es Salaam

    Nitumie namba yako PM, Mana ninahitaji dada wa kazi Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  7. M

    Hivi mtu akifa na hela zake ziko benki na Mpesa, tukiwa na cheti cha kifo tunaweza fuatilia?

    Weka namba zako mkuu Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  8. M

    Tunaoacha kucheza kamari (bonanza au dubwi) tukutane hapa

    Mimi naanza rasmi leo Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  9. M

    Tunaoacha kucheza kamari (bonanza au dubwi) tukutane hapa

    Ngoja nijaribu Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  10. M

    Tunaoacha kucheza kamari (bonanza au dubwi) tukutane hapa

    Daahh haya makitu nahisi yana uchawi ndani yake, maana kila nikiacha ninarudi tena. Tupeane uzoefu umetumia njia gani kuacha Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  11. M

    Tunaoacha kucheza kamari (bonanza au dubwi) tukutane hapa

    Mwaga ujuzi rasta Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  12. M

    Kampuni ya kukopesha inauzwa, Microcredit

    Nitumie namba yako pm tuyajenge Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  13. M

    Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

    Boss upo Itende sehemu gani? Mana ninampango wa kufanya maisha yangu ys kudumu yawe huko. Kwasasa nipo Arusha ila home ni Mbeya. Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  14. M

    NIPENI DILI MASELA: Hii ilikuwa ni masterpiece work of art

    Daahhh madawa haya sio kabisa Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  15. M

    Wazo: Biashara ya usimamizi wa magari ( daladala, bajaj, bodaboda )

    Wazo zuri sana Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom