Natafuta kazi za ndani Dar es Salaam

Amnec

Member
Aug 31, 2021
6
5
Natumaini mu-wazima wa afya ndugu zangu wana jamii forum. Natafuta kazi za ndani (house girl) Dar es salaam. Ni msichana wa miaka 21 nipo Geita kwa sasa. Elimu yangu nimefika form four.

Pia kaz nyingine kama kuuza duka nipo tayari
 
Kwa Nini dar tu na isiwe mikoa mingine na kwa nini isiwe na kazi zingine iwe ni za ndani tu ?
Sio kazi za ndani tu hata nyingine.. na nimesema dar kwa sababu nina plan yakuja kufanya biashara mungu akisaidia mambo yakienda vizur mbelen kwan dar ni mkoa mzur kwa fursa ya biashara ndogo na hata kubwa
 
Kumbe!

kwa hii gear yako mwajiri ataye soma hapa hawezi kuwa interested na wewe kwa sababu tu inaonekana tayari unataka ganda la ndizi la kufika dar ufanye yako kupitia tajiri, sasa matajiri wengi hawatakupokea.

Wanajua tayari wewe huwezi maliza mwezi kwenye kazi.
Bila shaka utaomba nauli ya kuja dar kwa tajiri atayekuitia kazi
 
Ha

Hakuna mkoa mzuri na wenye fursa nyingi Kama Geita kwa biashara ndogo ama kubwa, hivyo nashangaa kudai unasema dar😂😂😂 mdau pale ameongea point wewe huji dar kufanya kazi Ila una plan zako sema unahitaji pa kuanzia tu ovaer🙊
 
Kumbe!

kwa hii gear yako mwajiri ataye soma hapa hawezi kuwa interested na wewe kwa sababu tu inaonekana tayari unataka ganda la ndizi la kufika dar ufanye yako kupitia tajiri, sasa matajiri wengi hawatakupokea.

Wanajua tayari wewe huwezi maliza mwezi kwenye kazi.
Bila shaka utaomba nauli ya kuja dar kwa tajiri atayekuitia kazi
Lakin kumbuka ni mawazo yako ndugu sio kwamba ndo uhalisia wenyewe
 
Ha

Hakuna mkoa mzuri na wenye fursa nyingi Kama Geita kwa biashara ndogo ama kubwa, hivyo nashangaa kudai unasema dar mdau pale ameongea point wewe huji dar kufanya kazi Ila una plan zako sema unahitaji pa kuanzia tu ovaer
Ok haina shida
 
Lakin kumbuka ni mawazo yako ndugu sio kwamba ndo uhalisia wenyewe
Wewe ni binti na ukileta ujuaji utajikuta unadumbukia kwenye dimbwi baya, jaribu kuchangamsha akili kuona unaishi vipi bila ghasia za wanadamu.

Huu umri ulionao ni adult lakini bado mnakuwa na mambo mengi sana nyodo nyingi sana daaah hamuwezi fika.

Badili mwenendo wako kuwa mtu wa maarifa na kujenga mazuri, ujana utumie vizuri nakuambia hivo maana ninaona unajidanganya nikikuangalia.
 
Natumaini mu-wazima wa afya ndugu zangu wana jamii forum. Natafuta kazi za ndani (house girl) Dar es salaam. Ni msichana wa miaka 21 nipo Geita kwa sasa. Elimu yangu nimefika form four.

Pia kaz nyingine kama kuuza duka nipo tayari
Habarii,
Kuna kazi ya staionary,kufundisha computer na tution kwa wanafunzi wa sekondari.
Tupo mji wa Himo, Moshi Kilimanjaro
kama unaweza kazi hii tuwasiliane-0717157640
 
Natumaini mu-wazima wa afya ndugu zangu wana jamii forum. Natafuta kazi za ndani (house girl) Dar es salaam. Ni msichana wa miaka 21 nipo Geita kwa sasa. Elimu yangu nimefika form four.

Pia kaz nyingine kama kuuza duka nipo tayari
Umeshapata kazi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom