Recent content by Msemakweli Daima

  1. M

    Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

    Kama utakuwa ni mkweli wa moyo wako utaona hoja nyingi tu za maana ambazo zimetolewa na wapenda mabadiliko wa kweli, kama nia yako ni kuona wachangiaji wanapinga hii makala kwa maneno yale ya kitoto mliyozoea kule mtaa wa ................. basi nakusikitikia sana. Lakini fahamu kuwa bado una...
  2. M

    Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

    Mnasikitika kuona vibaraka wenu wanaondolewa kwa hiyo mmeamua kuleta hoja za kitoto kwa ajili ya kuwatetea. Napenda kuhakikishia kwamba kuna kundi kubwa la Watanzania ambao hawajajitokeza bado waziwazi na wanakiunga mkono chama cha CHADEMA pamoja na uongozi uliopo pamoja na maamuzi...
  3. M

    Kuuelewa Mgogoro wa CHADEMA - 5: Wanasiasa Wetu Watatu - Mbowe, Slaa na Zitto...

    Makala nzuri sana, makala hii inatoa mwelekeo wa Taasisi ya namna gani Watanzania na wapenda mabadiliko wote nchini wangependa kuiona CHADEMA inakuwa, ni makala ambayo itakifanya chama cha CHADEMA kuwa taasisi bora na imara sana nchini Tanzania kiasi cha kuweza kukifananisha na vyama vikubwa vya...
  4. M

    ..Mawaziri saba watoswa.....

    Filamu nyingine hii ya Magamba, Sterling: JK, Kamati Kuu ya CCM na Mawaziri saba, ngoja tusubiri tuone mwisho wake.
  5. M

    CCM wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii

    Tatizo ni kwamba wameajiri Division 5, sasa sio rahisi kwa Division 5 kupambana na wasomi wa kweli wanaojitambua na wenye uchungu na mapenzi ya kweli na nchi yao.
  6. M

    Picha: Vurugu zilizotokea Kasulu Kigoma Kumpinga Dr. Slaa...

    Nafikiri tatizo la kina kabisa sio Zitto Kabwe, Zitto Kabwe amekuwa tu kama kondoo wa kafara, kwa bahati mbaya ni kwamba labda anafikiria kwamba harakati hizi zitamsaidia kwa namna fulani kufikia malengo yake na anaziunga mkono chini chini au labda hana jinsi ya kuzikemea kwa sababu zinaratibiwa...
  7. M

    Jinsi mkutano wa Dr.Slaa ulivyochanganya polisi na wahuni wa CCM..na dili kuharibika.

    Nasikia msafara wa mheshimiwa rais ambaye ni mwenyekiti wa sasa wa chama chetu tukufu kinachoongoza nchi yetu ya Tanzania ulishawahi kupatwa na dhahama ya kurushiwa mawe, mbona hujaweka katika historia hapa kwamba ''mheshimiwa ..................... ambaye ni mwenyekiti wa chama chetu tukufu cha...
  8. M

    Jinsi mkutano wa Dr.Slaa ulivyochanganya polisi na wahuni wa CCM..na dili kuharibika.

    Hahahahahahahahahahahahahahahahaaaaa, imebakia kucheka tu kwa hoja zako, maana ndio hoja zilizobakia, kila siku hoja yako ni hiyohiyo, ''Chama cha Kilaghai'', umebakia kupumulia hoja moja tu, sijawahi kusoma ukitetea sera za chama chako, sijawahi kusoma ukielezea utekelezaji wa ilani za uchaguzi...
  9. M

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Gabriel Kimolo ahamia CHADEMA

    Asante kwa kujitambua, karibu kwenye ukombozi wa kweli wa Mtanzania
  10. M

    Mtikisiko CHADEMA: Harakati mpya zaibuka

    Na hiyo Maishaforum yenu mliyoanzisha nyinyi Magamba haitawasaidia kitu.
  11. M

    Mtikisiko CHADEMA: Harakati mpya zaibuka

    Ni kipindi kirefu sasa tumeendelea kusomaPropaganda za kijinga za CCM mpaka imefikia muda sasa zimetushosha, labdaniwaambie kwa kifupi kuwa “WAKATI NI UKUTA” na “KILA KITU KINA WAKATI WAKE”,hatukatai kwamba toka serikali yetu iliyo chini ya CCM imeruhusu kwa shingoupande mfumo wa vyama vyingi...
  12. M

    Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

    Kama wewe TUNTEMEKE ni mwanaume basi mimi natilia shaka kuhusu UANAUME wako, ''NAHISI UNA WALAKINI''.
  13. M

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ni wanafiki...

    Moja ya sifa nzuri kwa binadamu yoyote yule ni KUJITAMBUA,binadamu anapojitambua anaweza kuelezea mawazo na msimamo wake kwa ufasaha nakuusimamia. Naamini wale wote ambao mpaka sasa hivikufuatana na maamuzi ya Kamati Kuu ya CHADEMA ya kuwavua nafasi zao za uongozialiyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa...
  14. M

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ni wanafiki...

    Moja ya sifa nzuri kwa binadamu yoyote yule ni KUJITAMBUA,binadamu anapojitambua anaweza kuelezea mawazo na msimamo wake kwa ufasaha nakuusimamia. Naamini wale wote ambao mpaka sasa hivikufuatana na maamuzi ya Kamati Kuu ya CHADEMA ya kuwavua nafasi zao za uongozialiyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa...
Back
Top Bottom