Recent content by Msemaji wa Kijiji

  1. Msemaji wa Kijiji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Mzee Wassira anawataka sana CHADEMA warudi kwenye meza ya maridhiano na kushiriki Uchaguzi Mkuu?

    Ni kwamba ccm wameona kwamba wanachokifanya na walichokitarajia inaenda kugong mwamba na ndio maaan anatak chadema wafanye hivo
  2. Msemaji wa Kijiji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Bongo kuna misukule
  3. Msemaji wa Kijiji

    JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingine ya kupunguza uzito?

    Nenda bank kopa pesa weka nyumb rihani utakonda tuuu
  4. Msemaji wa Kijiji

    JamiiForums Tanzania Nimewasambaratisha majambazi, usiku, kwa Jina la Yesu!

    Na mungu azidi kukupa nguvu
  5. Msemaji wa Kijiji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi watatofautisha vipi waandamanaji na wapiga kura siku ya uchaguzi octoba 2025?

    Polisi wa sasa hivi hawaiheshimu sheria bali wanawaheshimu watawala kwahy hapo kutofautishi kwa hapa tanzania ni ngumu maan hawana sheria
  6. Msemaji wa Kijiji

    JamiiForums Tanzania Stand za Mabasi Kahama Mjini ni AIBU ya Taifa kwa niaba ya CCM

    Taifa la tanzania taifa la ccm
  7. Msemaji wa Kijiji

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Hili ni daraja la kijiji cha mirongoine kata ya mbuyuni mkoani arusha viongozi wamekula fedha za ukarabati wanakijiji wajawazito wanashindwa kufikia huduma hadi inapelekea wajawazito wanafariki wengine kuvunjika miguu pindi wanaruk juu ya mawe ili kuelekea hospitali ya mbuyuni inayomilikiwa na...
  8. Msemaji wa Kijiji

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Leo ni siku ya nne kijiji cha mirongoine kata ya mbuyuni mkoani arusha kaina umeme
  9. Msemaji wa Kijiji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20 March, 2025

    Na mungu akamtangulie kamanda wetu
  10. Msemaji wa Kijiji

    JamiiForums Tanzania Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

    Wewe ni kichaa tena kichaa kabisa hivi hat haya hauon kusemea hil jambo hapo
  11. Msemaji wa Kijiji

    JamiiForums Tanzania Nyie weekend mnaenjoy wapi?

    Mm naonjoi kikiwa natafut punda walopotea
Back
Top Bottom