Recent content by MSATULAMBALI

  1. MSATULAMBALI

    TANZIA Mtanzania Johnson Mdoe auawa kwa risasi Marekani. Polisi watangaza dau kwa yeyote mwenye taarifa

    Polisi mjini Dallas wameomba msaada wa kumpata mtuhumiwa wa mauaji ya mhamiaji kutoka Tanzania, Johnson Mdoe Mchaina ambaye alikuwa anafanya kazi usiku kusaidia familia yake iliyopo Tanzania anapotoka. Hivi ya CCTV inamuonyesha mtuhumiwa akimpiga risasi Johnson na kuchukua maisha yake. Tukio...
  2. MSATULAMBALI

    Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

    https://www.wsj.com/articles/trump-administration-plans-to-add-seven-countries-to-travel-ban-list-11579638341 Tanzania ipo Kati ya nchi zilizopigwa barn na USA habari zaidi fungua link Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. MSATULAMBALI

    Special Thread:Nyimbo Za Christmas Za Muda Wote

    Tupe za Amazon Apple Music tidal na Spotify
  4. MSATULAMBALI

    Samsung wajifunze kwa Apple

    Ukiwa na iphone huitaji upupu huo kila kitu kinakua stored icloud na miziki yote unaipata apple music au tidal au spotify Muvi ni netflix hulu amazon prime videos etc.... tatizo la bongo network na bundle wanaminya sana
  5. MSATULAMBALI

    Samsung wajifunze kwa Apple

    Sijajua why apple store tanzania hawakupi simu mpya ikisumbua kioo au battery kwa Huku US iphone ikisumbua unapeleka apple store jamaa wa genious bar wanakuomba samahani kwanza wanachukua sim mbovu wanakupa mpya kabisa, nshabadiri iphone 7 mtumba ulisumbua battery nikawapelekea apple store le...
  6. MSATULAMBALI

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Poa thanks
  7. MSATULAMBALI

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Nipo kutztown pennsylvania hapa states, hapa ningekuwa na muda ningeenda golazo pub betrehem ndo kuna shangwe la soka but nipo job mpaka saa 11 jioni ya huku
  8. MSATULAMBALI

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Live streaming mwenye link atupie mpira ukianza
  9. MSATULAMBALI

    Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

    Jamani mnaokuja US mjiangalie na wahindi wahuni wahuni sana me wamenipokea new york na kuniliza 165 jfk pale na ndo nilikua nafika...nikija rudi bongo naroga mtu mimi haiwezekani
  10. MSATULAMBALI

    Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

    Nimekuja kushukuru uzi huu umenisaidia kupata mkoba mgumu kuliko yote...sasa tuhamie kwenye airlines za bei chee
Back
Top Bottom