Samsung wajifunze kwa Apple

Samsung wajifunze kwa Apple

Halafu kitu kingine watu wanasahau kwamba cases za iphone kubadili vioo ni nyingi huenda kuliko hata simu ya aina nyingine yoyote... na hilo ni kwa sababu uwepo wa iphone zenye icloud nyingi mtaani na hivo watu kuziuza kama spear... kwa hiyo mtu simu yake ikicrack kdg tu anaingia mtaani.... na hapa ndo fingerprints nyingi zinazingua....
Hata kwa samsung kuna simu demo nyingi tu pengine kuliko hata hizo iphone zenye icloud. Hizi demo wanatoa vioo nazo maana haziingii line.
 
hivi ww mtu anayenunua spea za demo kwenye samsung utafananisha gharama yake na mtu anayenunua spea iphone yenye icloud....

mbali na mbali....
 
Probably demo ni gharama zaidi, iphone kaanza juzi kwenye iphone x kutumia oled, samsung yupo kitambo.

Oled ina gharama kuliko lcd ya kawaida.

Demo mpya ya s9 inaweza fila laki 6 ama zaidi, demo za simu za zamani kama note 4 maybe around laki 2 ndio unapata. Simu ya icloud inauzwa kiasi gani?
 
simu za icloud ukiwa na laki unapewa fungu hata la simu 5... sababu mtu hawezi itumia... .the only thing anaweza fanya ni kuuza spea....
 
Nilitoka Siemens, nikaja Nokia nikaenda Blackberry kisha nikaingia kwenye iPhones mwaka 2013 sijawahi kujuta kutumia iPhones.
Kuna jamaa juzi kati tulikuwa nae akawa anastruggle kutumia Face Unlock kwenye Samsung hadi akawasha tochi kwa simu nyingine (Ilikuwa usiku) but iPhone X hata kwenye giza Face Unlock inafanya kazi.
 
me mwenyewe na huawei yangu face unlock inakubali hata gizani.....
 
Kama ndo ivo ulishawai kuona wapi mtu anauza Samsung au brand nyingine tofauti na apple af akasema Finger print ???? Huo ndo ubovu wenyewe tunao sema. Kwann mtu akireplace kioo ife Touch ID

Fingerprint inasumbua kwasabab inasecurity na mtu hawezi kutumia simu uku ikiwa na fingerprint yako
 
Iphone x
Some-Apple-iPhone-X-units-have-a-strange-green-line-running-down-the-edge-of-the-display.jpg
Ndio maana apple anahitaji vendor wengine wa vioo kama LG kwa miaka ijayo,Samsung ni mlipuaji tu ndio maana walipigwa penalty baada ya kuchelewa kutoa OLED na wakasababisha iphone x zichelewe kutoka,akitokea vendor mwingine watajifunza na wataacha ulipuaji.
Samsung anaweka price za OLED anazotaka kwa sababu wanajua apple hawana pa kwenda tangu yeye ndie vendor mkubwa wa vioo(mlipuaji) duniani lakini Google pixel na iphone watawekeza zaidi kwa LG kwa ajili ya iphone zijazo licha ya yield rate Samsung tutampiga chini aendelee kuwalipulia wengine.
Ndio maana processor mpya ya iphone x(A11 Bionic) hata A10 Samsung amezisikia redioni kwa sababu walishatulipulia mpaka chipset, na vioo tunwahama kama tumeweza chipset vioo hatushindwi.
 
Ukiona fundi kafungua Iphone 6,6plus au 7 kwa ajili ya kubadili kioo, alafu badae Fingerprint haifanyi kazi. Hapo fundi anakuwa alikosea kwenye kuhamisha ila button ya fingerprint.
Kuna hitaji umakini kiasi kwenye kila kazi unayofanya hasa kwenye kubadili kioo.

Hakikisha unapo maliza kufungua kioo una test speaker na fingerprint kama viko sawa huo ndio ufundi.

Sijajua why apple store tanzania hawakupi simu mpya ikisumbua kioo au battery kwa Huku US iphone ikisumbua unapeleka apple store jamaa wa genious bar wanakuomba samahani kwanza wanachukua sim mbovu wanakupa mpya kabisa, nshabadiri iphone 7 mtumba ulisumbua battery nikawapelekea apple store le high valley wamenipa kitu mupya kabisa
 
Ndio maana apple anahitaji vendor wengine wa vioo kama LG kwa miaka ijayo,Samsung ni mlipuaji tu ndio maana walipigwa penalty baada ya kuchelewa kutoa OLED na wakasababisha iphone x zichelewe kutoka,akitokea vendor mwingine watajifunza na wataacha ulipuaji.
Samsung anaweka price za OLED anazotaka kwa sababu wanajua apple hawana pa kwenda tangu yeye ndie vendor mkubwa wa vioo(mlipuaji) duniani lakini Google pixel na iphone watawekeza zaidi kwa LG kwa ajili ya iphone zijazo licha ya yield rate Samsung tutampiga chini aendelee kuwalipulia wengine.
Ndio maana processor mpya ya iphone x(A11 Bionic) hata A10 Samsung amezisikia redioni kwa sababu walishatulipulia mpaka chipset, na vioo tunwahama kama tumeweza chipset vioo hatushindwi.
Kila Apple akihama kwa samsung ama qualcomm kinachotokea unakijua na naamini unakijua ila unajibaraguza tu.

1. Huyo LG si anamtengenezea Google kwenye pixel na kampuni nyengine? Vioo vyake vyote vina makosa kibao cha ajabu yeye mwenyewe hatumii vioo vyale vya oled kwenye flagship yake. Nipo hapa nasubiria vikianza kuzingua ili tuanze tena kulumbana.
All of the Pixel 2 XL issues we've heard about so far (Updated)
Moja ya makosa ya oled za lg angalia kwenye hio thread.

2. Kama samsung ni mlipuaji wa oled basi duniani hakuna oled unajua fika benchmark zote za vioo zinaonesha vioo vyake ndio bora zaidi.

3. Kwenye iphone 6s si Apple alitumia watengenezaji wawili wa soc? Samsung na Tsmc?kilichotokea nadhani unakijua za samsung zikawa efficient zaidi na kuleta tabu baada ya hapo mwenyewe mbio mbio akarudi samsung.

Aplle hana ujanja wa kumkimbia samsung kokote anapokwenda kunamlipukia anarudi, pale ni kama nyumbani.
 
Ukiwa na iphone huitaji upupu huo kila kitu kinakua stored icloud na miziki yote unaipata apple music au tidal au spotify
Muvi ni netflix hulu amazon prime videos etc.... tatizo la bongo network na bundle wanaminya sana
Kama una hela ya kununua vyote hivyo ambazo ni malaki ya hela basi hushindwi kupata internet Tanzania. Zipo broadband na internet kibao za maana.
 
Mkuu kwani hiyo screenshot si ya iPhone??
 
Ndio maana apple anahitaji vendor wengine wa vioo kama LG kwa miaka ijayo,Samsung ni mlipuaji tu ndio maana walipigwa penalty baada ya kuchelewa kutoa OLED na wakasababisha iphone x zichelewe kutoka,akitokea vendor mwingine watajifunza na wataacha ulipuaji.
Samsung anaweka price za OLED anazotaka kwa sababu wanajua apple hawana pa kwenda tangu yeye ndie vendor mkubwa wa vioo(mlipuaji) duniani lakini Google pixel na iphone watawekeza zaidi kwa LG kwa ajili ya iphone zijazo licha ya yield rate Samsung tutampiga chini aendelee kuwalipulia wengine.
Ndio maana processor mpya ya iphone x(A11 Bionic) hata A10 Samsung amezisikia redioni kwa sababu walishatulipulia mpaka chipset, na vioo tunwahama kama tumeweza chipset vioo hatushindwi.

Kweli wewe ni apple sheep unaongea kama vile you own some of apple stock or something.
 
Kama una hela ya kununua vyote hivyo ambazo ni malaki ya hela basi hushindwi kupata internet Tanzania. Zipo broadband na internet kibao za maana.
Mkuu am sorry,simu yangu aina ya xiaomi mi A2 lite global version kama nikitumia line ya hollotel kwenye network inashika network ya h tu hata h+ haishiki ila nikitumia tigo inaandika 4G kama kawaida,je nifanyeje ili angalao ishike network ya 3G kwenye network ya hallotel?
 
Halotel hawana 4G kwa bongo.... pia hizo h na h+ ni advanced versions za 3G, so relax tu....
 
samsung ndo wametengeneza hiyo display ya iphone X ulitegemea kitokee nini???
 
Mkuu am sorry,simu yangu aina ya xiaomi mi A2 lite global version kama nikitumia line ya hollotel kwenye network inashika network ya h tu hata h+ haishiki ila nikitumia tigo inaandika 4G kama kawaida,je nifanyeje ili angalao ishike network ya 3G kwenye network ya hallotel?
H, H+ na wengine ni aina za 3G hivyo hizo nazo pia ni 3G.
 
Back
Top Bottom