Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

Ni ndoto ya kila mmoja kati yetu kwenda kwenye nchi anayoipenda iwe ni kusoma, kutalii au hata kutafuta ridhiki(kufanya kazi).


Ni ndoto ya kila mmoja wetu, kila mmoja wetu wewe na nani?

Speak for yourself!

Umetuuliza wote hapa tukakwambia tuna ndoto ya kusafiri? Get a grip!
 
Hao jamaa wa CANADA NA MAREKANI udini unawasumbuwa... Ukiwa JINA LA KIISLAM,,, ni pingamizi namba moja... Pili UMRI,,, ukiwa na under 40 pia ni changamoto,,, pia travel esperiance pia ni tatizo...
 
Fuatilia series ya 90 DAYS FIANCÉ kwa TLC.Check YOU TUBE.
Achana na masuala ya series chief, wewe kama mtanzania unaexperience na K-1 visa? Ulisha ona mtu akifanikiwa kwa hii visa na je changamoto na muda wake kukamilika kwa upande wa embasay nchini uko vipi?
 
Habari wanajamvi?

Ni ndoto ya kila mmoja kati yetu kwenda kwenye nchi anayoipenda iwe ni kusoma, kutalii au hata kutafuta ridhiki(kufanya kazi).

Niukweli usiopingika kwamba kumekua na changamoto kubwa hasa katika upatikanaji wa pass ya kukuruhusu kuingia katika nchi husika (VISA).

Ningependa leo tujadili uzoefu kutoka kwa watu tofauti je ni changamoto zipi walipitia na waliwezaje kuzikabili mpaka kufanikisha kupata Visa zao?

Binafsi niliomba visa ya Canada, mbali na ku attach document muhimu kama Invitation letter, bank statement, traveling iternary n.k bado jamaa walinitolea nje kwa sababu tu, ati travel history yangu haiwaridhishi.

Karibuni wadau mliopitia au mnaopitia katika michakato hii.

Wasalaam.
Labda una Ngwengwe a.k.a Ngoma
 
Hakuna viza ngumu duniani kama CANADA,,MAREKANI,, AUSTRALIA......na ukiwa na viza za hizi inchi POPOTE ukiomba ni ngumu kukosa,,mimi PASPORT yng ina visa ya SPAIN,,BELGIUM,,GREECE,,tena zote nilisafiri nikarudi ON DUE DAYS nilizopewa,,,cha ajabu nina kila kitu kinachohitajika kupewa visa,,wakaninyima,, MAREKANI waliniuliza mwenyeji wako anafanya kazi wapi?kama ni rafiki yako for 5 years lazima ujuwe,,,wakati wana INVITATION LATTER YAKE,,na kila kitu chake,, ,CANADA nao walisema tu hatujaridhika na wewe wakati tume submit visa applications na mzee wangu mmoja kama safari ni moja tunasafiri pamoja kikampuni,,basi baada ya kama week 3 of submit the documents wakajibu hawakujiridhisha na mimi,,ila yule mzee alipewa 8 years viza tena MULTIPLE....AUSTRALIA wao walininyima bila maelezo,,sijuwi shida nn..SOMETIMES nadhani ni BAHATI NA UMRI pia unachangia kupata au kukosa viza
Ni kweli kabisa
 
Tusiharibiane safari, huyu bibi nimestruggle sana kumpata ilibidi kufuga rasta na kujifunza kuchonga vinyago pale mwenge
:D:D hapana shida mkuu kwanza hongera kwa hiyo hustle. I mean Nakushauri unge apply kwa fiance visa, ili wasikureject kwa visiting visa.
 
Hiyo fiance viza inakuaje?

Yeye ndiye anafile hiyo visa kwa hatua ya mwanzo akiwa kwao, then atafanyiwa interview na kulipia vitu kadhaa vilivyo kwenye iyo process, then case itatumwa tz embassy na wewe utaitwa kufanya process kadhaa ikiwemo vipimo vya afya then interview na kupewa visa yako ambayo mfano mzur ni u.s wanakupa 90 days ambapo ndani ya izo siku uwe umeshasafir na kuona uko mtoni. Baada ya apo utachapwa greecard yako simple like that boss though si chini ya miez 4-6 itakamilika.
 
Back
Top Bottom