Tanzania hususani idara ya elimu bado tuna mapungufu kadha ambayo yakifanyiwa kazi basi soko la ajira litakua kwa Kasi na vijana kupungua kukaa vijiweni na kutumia mihadharati,
Mfano mitaala elimu ya sasa ni tofauti na miaka ya 2000 kurudi nyuma,
Tulikua na masomo kama sayansi kilimo, stadi za...
Inna morata, Wow
Nimejikuta nnachoka kusoma tu huu uzi,
Wakuu hili ni ombi tafadhal ikitokea Kuna mmoja ka Qualify hii k2 naomba nimjue tafadhal maana Duh !!! DADA ntaomba na ww ukimpata nisaidie kumjua ili nijifunze jambo kwake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko Sahihi mkuu,
V2 vi3 huongelewa Zaid Tanzania Ngono,Mpira na Siasa,
But sometimes tunahitajika kuweka sawa maswala km haya kwa jamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Sina maana hiyo ,ila Mwenye mtalimbo aende kwa Mwenye Bwawa saiz yake ,lkn akikutanua ww mwisho wa siku 70%+ ya wanaume ni Size ya Kati ,ambao ninyi huwaita vibamia huku 25%+ Iliyobaki ni hao wenye mitalimbo so unadhani nan anastahiki hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana uko sahihi ama sio sahihi,
Na inawezekana una hoja nzito ila nnachozungumzia hapa ni matumizi mabaya ya nyeti za mwanamke ,
Inawezekana ww ndo maumbile yako yako hvyo ndo ulivyozaliwa sio kosa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi everyone,
Nimeona ni vyema ku_share nanyi swala hili ambalo linawaumiza vichwa maelf ya wanaume duniani,
Kumekua na wimbi zito la waganga na wataalam kutangaza dawa za kukuza/kurefusha maumbile ya kiume ,na wanaume wengi wakiamini kuwa wako na vibamia(maumbile madogo/mafupi)
Shortly ni...
Kinachotokea ni hichi,
Wimbi la wanawake/wanaume kuzoea ndoa linazidi kuongezeka kila kukicha na kila aingiae kwenye doa huizoea mapema pia na kuacha utekelezaji wa majukum yake km mume/mke
Mfano mzuri mkiwa ktk mahusiano ya kawaida kila mmoja anajimwambafai kutokuzidiwa na mwenzie ktk swala...
Hey What's up everybody
Le me share dis ting to u guys u lookin for a husband/wife/boyfriend/girlfriend
U know what body
That's not means usitafute but I want to tell you one thing
Kila binadam yuko na mapungufu kibao nobody is perfect
Kitaan kwenu au ktk pitapita zako umemeet na watu...
Oooh my Gossh
22Yrs aiseee am so sorry for what happened
But kwa umr ulonao Niko na more than 79% tatizo ulokua nalo nadhani ni wivu mwingi na hii inawezekana ni sababu iliyochukua Zaid ya 90% ya hayo mahusiano kuvunjika,
It's ok lkn km hutojali niPm naweza kukuelimisha zaid By kesho Jion...
Pole Sana but ni easy ila unachotakiwa kufanya ni kusetup akili yako na next unapokua ktk mahusiano usiweke a 100% huwez breakup hilo litakuumiza km ilivyo sasa,but hutakiwi kuwachukia wanaume coz we are different kwenye kila sector na unategemea break-up ilisababishwa na nn coz there's many...
Kila la kheri bibie ...
Ila ukitaka mume mzuri mtengeneze mwenyewe utakavyo lkn ukitaka aliekwisha tegezwa ni mtihan kumpata .
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.