Je, unahisi una kibamia?

Je, unahisi una kibamia?

Hakuna kibamia! Kijana wa kiume jivunie maumbile yako na ujiamini.
 
Narudia tena kusema kama una kuanzia nchi 7 kushuka chin,wew ni kiba100
 
Hi everyone,

Nimeona ni vyema ku_share nanyi swala hili ambalo linawaumiza vichwa maelf ya wanaume duniani,
Kumekua na wimbi zito la waganga na wataalam kutangaza dawa za kukuza/kurefusha maumbile ya kiume ,na wanaume wengi wakiamini kuwa wako na vibamia(maumbile madogo/mafupi)

Shortly ni kwamba kila mwanaume alizaliwa na maumbile saiz yake ila kumetokea wanawake/wasichana wakilalamika kuwa wanaume zao wanamaumbile madogo na hawawaridhishi ,jambo ambalo linapelekea wanaume kutojiamini km wanaume,

Tabia ya uke ni kutanuka na kusinyaa ila uke ukitumika sana hupelekea mishipa kulegea na kuta za ndani kushindwa kukutana km ilivyokua mwanzo ili kutengeza njia iliyobana ,hvyo kuta za uke zisipokutana kupelekea uke kuwa mpana ,na hata mwanamke huyu akikutana na mwanaume Mwenye maumbile madogo huwez kumrishisha,

Hvyo niwawaase wanawake kutotumika kiasi Cha kupelekea madhara hayo na kusababisha wanaume kuonekana vibamia kumbe tatizo liko kwenu,

#HakunaMwanaumeMwenyeKibamia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani tatizo nini ?
 
Mkuu unamaanisha tuwakatae Waliojaliwa mitalimbo..viguu vya watoto?.
 
WATANZANIA TUTAZIDI KUWA MASKINI HADI MWISHO WA DUNIA. YAANI TUNAWAZA NGONO MASAA 24 SIKU 7 ZA WIKI.

UKIENDA MASHULENI KESI NI ZA NGONO TU. MAOFISINI STORY NI ZA NGONO TU MARA FULANI ANATOKA NA FULANI YAANI NI FULL UZINZI.

Mungu aturehemu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman kat ya single maza mwenye chura na mchana fresh nioe yup???
 
Narudia tena kusema kama una kuanzia nchi 7 kushuka chin,wew ni kiba100
Inawezekana uko sahihi ama sio sahihi,
Na inawezekana una hoja nzito ila nnachozungumzia hapa ni matumizi mabaya ya nyeti za mwanamke ,

Inawezekana ww ndo maumbile yako yako hvyo ndo ulivyozaliwa sio kosa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom