Bado natafuta mwenza wa kiume HIV +

Wanaume wenye tunaogopa kupima sasa sijui hapa tutajijuaje kama tuko +ve...!
 
Wasamehewe bure. Wapo wanaowachukulia hawa wenzetu kuwa wakosaji. Wanajisahaulisha kuwa kesho inazaa mengi.
What if kazaliwa nao?? Why are you being that judgemental?? Kwamba ninyi ni wema sana? Kwamba mnaijua kesho yenu? What if ukawa muaminifu lakini mwenza wako akakuletea?

Ifikie pahala muache kutoa hukumu zenu za kipilato wakati ninyi wenyewe siyo wasafi.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Common sense is not common. Usijihangaishe sana maana life lina njia nyingi za kutufunza and better pray isiwe hard way
 
Dada akiwa mtu -ve na ni mkristo huwezi kumkubali? Maana mimi shida kubwa ni kupata uhakika wa kuchakata papuchi kila siku hayo mengine tutashauriana baadae

Sent from my iPhone using JamiiForums
you made my day nigga eti uhakika wa kuchakata papuchi daaahhh kwel hii dunia inawatu. Kwan -ve wenzako hawana papuchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom