Je, unahisi una kibamia?

Je, unahisi una kibamia?

Mkuu unamaanisha tuwakatae Waliojaliwa mitalimbo..viguu vya watoto?.
Hapana Sina maana hiyo ,ila Mwenye mtalimbo aende kwa Mwenye Bwawa saiz yake ,lkn akikutanua ww mwisho wa siku 70%+ ya wanaume ni Size ya Kati ,ambao ninyi huwaita vibamia huku 25%+ Iliyobaki ni hao wenye mitalimbo so unadhani nan anastahiki hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WATANZANIA TUTAZIDI KUWA MASKINI HADI MWISHO WA DUNIA. YAANI TUNAWAZA NGONO MASAA 24 SIKU 7 ZA WIKI.

UKIENDA MASHULENI KESI NI ZA NGONO TU. MAOFISINI STORY NI ZA NGONO TU MARA FULANI ANATOKA NA FULANI YAANI NI FULL UZINZI.

Mungu aturehemu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko Sahihi mkuu,
V2 vi3 huongelewa Zaid Tanzania Ngono,Mpira na Siasa,

But sometimes tunahitajika kuweka sawa maswala km haya kwa jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WATANZANIA TUTAZIDI KUWA MASKINI HADI MWISHO WA DUNIA. YAANI TUNAWAZA NGONO MASAA 24 SIKU 7 ZA WIKI.

UKIENDA MASHULENI KESI NI ZA NGONO TU. MAOFISINI STORY NI ZA NGONO TU MARA FULANI ANATOKA NA FULANI YAANI NI FULL UZINZI.

Mungu aturehemu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo bwana nani kawaza ngono masaa 24, hii post si unatype dakika moja tu. Af unaendelea na viwanda vyako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WATANZANIA TUTAZIDI KUWA MASKINI HADI MWISHO WA DUNIA. YAANI TUNAWAZA NGONO MASAA 24 SIKU 7 ZA WIKI.

UKIENDA MASHULENI KESI NI ZA NGONO TU. MAOFISINI STORY NI ZA NGONO TU MARA FULANI ANATOKA NA FULANI YAANI NI FULL UZINZI.

Mungu aturehemu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzetu unawaza nini ?
 
Kama wewe ni kibamia , omba Mungu uoe bikira asiyejua ili ndoa yako idumu . Kama sivyo kila siku utasikia mara naenda kumsalia shoga wangu na visingizio lukuki . Anaenda kutengenezwa !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili mwanaume asiwe na kitambi Fanya mazoezi Linda jumadede😀
 
Back
Top Bottom