GPSA inasaidia wapiga Dili kama nyie na taasisi za umma kuwabana mchujwe isiwepo ujanja ujanja kusainisha mikataba ya ununuzi uchochoroni na ndo kinachokuuma jizi kubwa wewe
Mechi ilikuwa sahihi kwa hayo matokeo mana Algeria hakuna walichokuwa wanatafuta katika mechi hii walishafuzu Ina mana na hao waganda tuseme walifix na Niger wakapewa zile goli mana Niger nayo ilikuwa ishajikatia tamaa
Wewe ni jizi GPSA imesaidia sana kumpunguza wezi na wafanyabishara wa michongo wakuiibia serikali [emoji3][emoji3] kama unataka biashara ulipe Kodi kwani stationary lazima ufanye na serikali tu private huko hawataki vifaa? Jizi kubwa weee
Kwani kuchambuliaa uzanzibar si muendelezo tu kama walivyo kuwa hao wakitazamwa tu wakiichambua sukuma gang au [emoji23][emoji23][emoji23] tulieni dawa ziingie
Nimepita humu kusoma comment zenu ili nicheke tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakuja Tena September hapo December nicheke Tena alafu kufika march ndo ntawacheka Hadi may mkiwa nafasi zenu zile za 10 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.