Recent content by msambaa1

  1. msambaa1

    JamiiForums Tanzania Banks and EU provide €764m to link Kenya and Tanzania

    Hii sio juhudi ya Magufuli pekee, mradi huu ulianza kuzungumziwa tokea enzi ya Mkapa, Moi na Museveni, ukapata msukumo mkubwa awamu ya Pili ya Kikwete na wenzake Uhuru na Museveni, planning and costing zilifanywa na East African Community,na wasimamizi wengi walikuwa wakenya na waganda kweny...
  2. msambaa1

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chama kisha pokea milion 100 za awali katika ahadi ya Ikulu

    Ndugu Murusi, si ulesema haya hapo juu "Mimi naleta habari mkuu sawa mimi ni mjumbe na siko kwenye Siasa kabisa na sitaki kuisikia" Sent using Jamii Forums mobile app
  3. msambaa1

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA haikupokea mwaliko wa kwenda Ikulu kuzungumza na Rais Magufuli

    Kwa hili Mbowe na Chadema hawakutendewa haki hata kidogo. Mbowe kwa nyadhifa za kichama ni sawa na Magufuli, anastahili heshima na ulinzi wa wadhifa wake. Hii sio haki, ni wajibu wa kila mtanzania kuukemea Sent using Jamii Forums mobile app
  4. msambaa1

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbunge wa CCM azomewa na Wananchi kwenye Mkutano wa Waziri wa Mifugo Luhaga Mpina

    Wana Igunga nao ni kweli yao, huyu alikuwa bure sana, hata alipokuwa pale wizara ya madini, alikuwa useless na nla Rushwa sana, yeye na Ngeleja wote walikuwa vibaraka wa Rostom Aziz. Wananchi wana haki hiyo. Tutaona hapa wale waliokuwa wakisema kuzomewa kwa mbowe ilikuwa ni kosa, lakini huyu...
  5. msambaa1

    JamiiForums Tanzania Polepole wa enzi zile akizungumzia sifa za Kiongozi bora

    PP ni messenger anayefanya kazi yake vizuri, na ataishia kuwa Messenger. Huyu hampendi Kinana hata kidogo, kwani kinana alipokuwa KM, alipiga fullstops nyingi na kusikata viherehere vyake. Mheshimiwa Kinana alishamuona kuwa ni mharubifu na hafai katika nafasi za juu CCM. Sent using Jamii...
  6. msambaa1

    JamiiForums Tanzania Sijapendezwa na vurugu alizofanyiwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe

    Ndugu Nondo, Maandishi yako ni marefu sana kama unaandika makala kwenye gazeti. Kwanza hakikisha hao waliopiga makelele , ni wapiga kura wa jimbo lake au laa, Kama wameshakizwa kisiasa ni kosa, wewe ni msomi usikurupuke do your due diligence first and get the true facts. Angefanyiwa Magufuli...
  7. msambaa1

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri Mbatia akubali kufanya kazi ya CCM

    Ndugu wacheni kuleta vitisho visivyo na tija wala muelekeo wowote. Wengi wetu humu JF ni washaniki au wafanyikazi wakupewa maagizo na kuyatimiza tuu. Wanachama wanataka kusikia maneno ya viongozi, yakifuatiwa na vitendo. Vitisho vya zisismizi havisikiki na havitishi.
  8. msambaa1

    JamiiForums Tanzania Singida: Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana leo, baada ya kushikiliwa Polisi tangu Jumatatu Machi 2, 2020

    Wnaijua kazi yao vizuri, nasi tujue pa kuropokea na pasipo stahili. Mtu unayo majina ya Marehemu waliouwawa, na unaficha ya watuhumiwa au yale majambazi waliofanya unyama huo, kwa sababu ya kuyatumia majina ya hao wauwaji, kwa manufa ya kujijenga kisiasa. Lema faida aliyoitaka ni kuufanya...
  9. msambaa1

    JamiiForums Tanzania Je, kikao cha Rais na Wenyeviti wa Vyama vya siasa isipokuwa CHADEMA ni mpango wa kuzigawa kura za Urais za Tundu Lissu?

    Watanzania tuwache ujinga, Raisi kakutana na vyama vya upinzani, au kakutana na baabadhi ya viongozi wa vyama, chama kinapoitwa kwa mazungumzo na serekali, at least wanakwenda Viongozi 3 wa juu kwa kila chama, sio mtu mmoja mmoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. msambaa1

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: UVCCM ndio waliofanya Vurugu kwenye Mkutano wa Mbowe Jimboni hai huku Polisi wakiangalia bila kufanya chochote

    Mvurumisheni, hafai, waajiriwa wake i wapiga kura sio Magufuli wala CCM. Lazima kuwe na roll calls za jimboni na pia lazima kuwe na minimum numbers ya mikutano jimboni kwa kila mbunge, ama sivyo wakatwe mshahara na posho Sent using Jamii Forums mobile app
  11. msambaa1

    JamiiForums Tanzania Kulinda rasilimali kwa Export Ban on Concentrate: Kama tuliuzuia ili tusiibiwe kwa kutokujua kilichomo, tunawezaje kuruhusu bila kujua kilichomo?

    Ndugu Pascal, Tatizo tulilonalo ni kutokuwa na Honest, Nationalist strategist and long term Intelligent and realistic planners. Mullti purposeSmelter ingeweza kujengwa na nchi ingenufaika kwa njia nyingi sana. 1. Our Planners and Business planners, wangeweza kuwashauri viongozi, tupunguze...
  12. msambaa1

    JamiiForums Tanzania Dar: Jeshi la Polisi lamuhoji Josephat Gwajima kwa tuhuma za kuhamasisha watu kuunda kikundi cha kikabila

    Tunaandika bila kufikiria, kwanza mleta mada, unafanya kosa kubwa, hakuna chama hapa TZ, kinacho dharau au kuponda kabila, kuna watu binafsi wana ukabila, kama baadhi ya viongozi na Gwajima. Watanzania tuna tabia mbaya sana ya utani usio na kikomo, kwa mfano kwetu Tanga, sisi Wasambaa ambao...
  13. msambaa1

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

    Sidhani Kinana na Lowasa wana nia ya uraisi. Msiwachanganye kundini Sent using Jamii Forums mobile app
  14. msambaa1

    JamiiForums Tanzania Dar: Jeshi la Polisi lamuhoji Josephat Gwajima kwa tuhuma za kuhamasisha watu kuunda kikundi cha kikabila

    jd41, Ukikuyu na ujaluo na siasa za kikabila wa kenya umeingia Tanzania, kama ccm haikufanya maamuzi mazuri na kukirejesha chama kwenye msingi yake , chama kitapotea kabisa. Hivi mkuu wa majeshi ni kabila gani. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. msambaa1

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yalitakiwa CCM kwa kipindi kirefu

    Ndugu B, kwanza nakutakia kheri na uzima, Pili nadhani ujaishi enzi za Nyerere, kuna sifa nyingi sana Marehemu Nyerere anapewa leo ambazo hazistahili. 1. Alikuwa Dictator, asiyependa ushindani wa ki Demokrasia. 2. Muumini wa siasa za chama kimoja. 3. Aliuwa Elimu na kilimo. Anayekumbuka kilimo...
Back
Top Bottom