Siku moja nilikutana na injinia mmoja wa kikenya, nikamuuliza mmewezaje kuibadilisha kenya mpaka watu wakajielewa, akasema watu walikufa sana, na akasema ili wabongo mpate kujielewa ile October 29 zinatakiwa kuwa mala saba au kumi kabisa nchi ndo itakaa sawa.
Mtoa mada, umenikumbusha jamaa flani huko mkoani tulienda kuzika sasa usiku wa mkesha kuamkia maziko jamaa mwenyeji wa hapo alikuwa anamdinya mkewe watu tupo nje, inshu sio kumdinya inshu ni hiyo milio mpaka nje watu tukawa tunasikia manzi akitoa milio.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.