Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nitahitaji kuanzisha biashara yangu ya duka la nguo. lakini huku kwetu ni washirikina sana.na mimi sihitaji kjihusisha na ushirikina na hata biashara yangu kuihusidha na ushirikinaa..pili naogopa na ule mchezo wa chuma ulete.nifanyaje niweze kujikomboaaa??
Yule kajizira sababu anadoz afu anakunywa pombe pili hajali usalama wa wengine sababu yeye hana uhakika kama ata survive.yule hawez kupewa hata ushauri sababu anajifanya anajua kila kituuu
Jamani mm ni police nipo FFU kiukweli mengiiiii yanasemwa ila kazi ya police ni wito tena wa hali ya juu wengi huona polisi hatuna elimu but si kweli af wengi huona sisi wala rushwaa but kila mtu na msingi mbovu wa kazi aliojiwekea ndio maana hura rushwa..ila tambua kuna askali tunao fuata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.