msaidimahadhi
Member
- Aug 6, 2014
- 12
- 1
Jamani mm ni police nipo FFU kiukweli mengiiiii yanasemwa ila kazi ya police ni wito tena wa hali ya juu wengi huona polisi hatuna elimu but si kweli af wengi huona sisi wala rushwaa but kila mtu na msingi mbovu wa kazi aliojiwekea ndio maana hura rushwa..ila tambua kuna askali tunao fuata kanuni na taratibu za kazi but raia hutuita wanoko.sababu hatupokei rushwa..pia kuna watu husema wakubwa wanatuma askali wa chini kula ruswa af wanagawana.me sema si kweli kwani hata kanuni za kaz haziruhusu kitu hichoo kutendekaaa.