Sir Lugoje
Senior Member
- Jan 9, 2014
- 169
- 54
watu wenye fani za HRM wanapangwa vitengo gan? msaada
Ukikaa sehemu kama ofisi ya RPC (mkoa), Zone (central/tarime), au makao makuu ya polisi...utawekwa kitengo chako. Ila kutokana na tatzo la upungufu wa askari nchini unaweza kupangwa wilayani huko ambako cna hakika kama kuna kitengo hicho cha HR.