Recent content by Msafwa A.

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili tunahitaji tamko la CHADEMA

    CDM tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu! PEOPLES POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

    Hongera Dr wa ukweli. Acha hii miCCM iendelee kula kubeli.
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM yaigawa CHADEMA vipande viwili - Shibuda, Nape na Kinana wapanda Jukwaani

    Hivi CCM wamechanganyikiwa namna hii siamini, kweli CHADEMA wanaume!, kwani wapinzani ni CDM pekee, hakika nimekubali 2015 CCM inazikwa. CHADEMA KUNAPENDEZA!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Angalisho CCM: Kilichozaliwa hukua, husitawi, huugua na mwisho hufa

    Hata hivyo CCM haijapigania uhuru wa nchi hii, zingekuwa TANU NA ASP ni sahihi, ndio maana CCM hawana uchungu na nchi hii kabisa, CCM wamejaa wababaishaji tu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA naichukia kutoka moyoni

    Pole sana, naona Mola anakuita, nenda tu akulaze mahali pachakavu kama ulivyochakaa. Ukome, CHADEMA mwendo mdundo, ni zaidi ya moto vichaa kama wewe hawawezi kuuota hata kama ni kwa mbali.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nape sasa amtaka Mbowe ajiuzulu

    CHADEMA ipo juu, NAPE hajitambui hana hoja, muulize gamba la LOWASSA limeishia wapi? walitumia chopa kuzunguka nchi nzima kwa kodi zetu, na hakuna alilofanya? wajiuzuru CCM wote MATAPELI, MALAGHAI, MAFISADI MAKUBWA HAYA!. Mtachanganyikiwa hadi mkome, CDM haikamatiki msio na hoja kaeni kimya.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Dr. Slaa - Mbeya 15 Sept 2013

    Tupinge ama tusipinge CHADEMA wanakubarika acheni unafiki, KIKWETE mwenyewe anafahamu hilo, CHADEMA hiki ni kipindi chao, CCM magamba tu hayavuriki hawana jipya, Kwenye uwanja huohuo wa RUANDA NZOVWE waliacha kufanyia mikutano kwa kukosa watu kabisa hata wa kukodi kwa marori, na wasafwa sasa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Katiba Mpya: Kinachowatesa CCM ni hiki hapa; u- Conservative

    CCM hawakuwa tayari kwa katiba mpya ndio maana hawana hoja za msingi, wanataka kutupeleka-peleka tu, na pia hawa MACCM wamechoka ninyi nyote mashahidi; [ref. PINDA]
  9. M

    JamiiForums Tanzania Cha msingi ni kupata katiba itakayotusaidia kuondokana na CCM mengine baadae

    Hivi CCM kuna shetani anawasubua tena anatisha lakini kwa uwezo wa MUNGU anashindwa tu "TULIANZA NA MUNGU, NA TUTAMALIZA NA MUNGU"
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya CCM kuhusu kwa tume ya katiba haya hapa ....

    Mapendekezo haya yanaonesha jinsi CCM walivyo "emptyheaded" hivi suala la kuoana ni hoja, mbona kuna wazungu alioolewa na watanzania au wazambia mimi nina wasiwasi na vyeti vyao naomba NECTA ifanye uchunguzi, VIONGOZI BOGAZI HAWATAKIWI KUONGOZA NCHI, kweli nimeamini kuwa 50 yearz hatujawahi kuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    CCM mwisho wao umefika, na kaburi lao lipo tayari, bado kwenda kubeba mzoga tu mochali.
  12. M

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Hakuna dalili ya jimbo lolote la Upinzani kurudi CCM 2015

    CCM watakiona 2015
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA: Kwanini wanawakilisha Chama na kuwaacha watu waliowachagua?

    Chama ambacho kimekufanya uwe na uwezo wa kuchambua siasa namna hiyo si kingine bali ni CHADEMA, utoke porini njoo barabarani, ccm pamoja na Ndugai hawana hoja ndo maana wanaogopa hoja za CHADEMA. [Hint: Angalia takwimu za CHADEMA].
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaigaragaza CCM

    CHADEMA juuuuu!!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msichana mwenye wivu aamua kuogesha dushelele ya mpenzi wake

    Madem mnatisha lo!
Back
Top Bottom