Kwa hili tunahitaji tamko la CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili tunahitaji tamko la CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MPAMBANAJI.COM, Nov 9, 2011.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Mbali na itikadi za kichama tunaomba uongozi wa CHADEMA utoe tamko lao kuhusu misaada na sera za ushoga toka Uingereza kupitia chama cha Concervative. Bado tunahitaji msimamo wa serikali mbadala ya CHADEMA either kupitia waziri kivuli wake wa mambo ya ndani au yeyote atakayeteuliwa kusema kwa niaba ya chama. Tunatambua pia changamoto wazipatazo makada wa chadema hususani kule Arusha.
   
 2. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Kwa sasa kazi kubwa ni kuikomboa nchi na si kutoa misimamo. Kama unataka msimamo basi subiri ilani ya uchaguzi 2015. CDM sasa ni mikakati tu ya namna ya kuin'goa CCM madarakani. Wacha akina Membe waendelee.
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mnaomba wewe na nani?
   
 4. s

  seniorita JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  CCM ndio serikali kwa sasa, wanaweza kutoa tamko na sio CDM; kwani fedha nazo zina sexual orientation? Wewe unajua fedha unazotumia zimetoka wapi? Think big
   
 5. R

  Real Masai Senior Member

  #5
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli humu ndani kuna watu wanafikiria uharo..hivi CDM nd yenye dola na itoe tamko kwa nn? Wambie magamba hatma ya misaada watolee tamko na c CDM kwn ndo wenye dola..

  Think Big
   
 6. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Wewe kweli kibaraka wa kikoloni na kimawazo. Kodi na diashara.CCM si taasisis ya uzalishaji na isiwahadae wananchi kuwa eti inaleta maendeleo kwa jasho la watanzania wenyewe. Unanipa hasira kukujibu
   
 7. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Wewe kweli hili ndo jibu lako. Maybe ur still a learner. U need to stand as a watch dog? ndo maana kuna mawazo mbadala on how to go out of it
   
 8. t

  takeurabu JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hoja hapa ni kwamba; hawa wakubwa wameshatoa msimamo wao kuwa watasitisha misaada kwa nchi zinazoendelea ambazo zinapinga ushoga; mtoa mada anajaribu kujenga hoja kwamba miongoni mwa wanufaika wa misaada hiyo ni CHADEMA ambao wanapata msaada moja kwa moja kutoka kwenye chama ambacho serikali yake kimetoa masharti hayo, na ndiyo maana anauliza je msimamo wa CHADEMA ni upi? bado mtaendelea kupokea misaada kutoka kwa wakubwa hawa? je hamuoni kufanya hivyo ni sawa na kuukubali ushoga?
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu kwa kuiweka vizuri mimwenyewe nilitaka nitukane kwa kuiona hii thread haina maana kumbe sikuielewa vizuri. Thanks again.
   
 10. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Mpambanaji.com,

  Mwambie Rais wako Kiwete atoe tamko kuhusu swala la USHOGA. JKiwete alikuwa pamoja na David Cameron kule kwenye mkutano wakti anatoa masharti hayo kwa Nchi za kiafrika. Mbona hakumwambia blankpoint kama kweli Kiwete anachukia ushoga???Badala yake aliendelea kuchekacheka tu huku David Cameron a.k.a Mzee wa the utamu akimkonyeza! Kama Kiwete ni mwanamme kweli alishindwa nini kumwambia DC kuwa hakubaliani na huo upuuzi wake badala yake kamwachia Waziri wake kihiyo Membe! Upuuzi mtupu. DC kama PM wa Uingereza kaongea kwa niaba ya serikali yake. Kwa hiyo mtu wa saizi yake ni Rais,Makamu wake Bilali au Waziri Mkuu Pinda na siyo Membe.

  Wewe subiri siku Kiwete akienda kutembeza bakuli lake kule kwa Mama Malkia kama hajashughulikiwa na DC! Hivi mnafanya mchezo na DC,ukijichekeshachekesha tu anakuramba! Mwambie Rais wenu aache kuchekacheka kama jike maana kina DC watamwumiza!
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Regia si ndio mpayukaji wao?
   
 12. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,170
  Likes Received: 1,173
  Trophy Points: 280
  Tukiwa na uongozi imara na kujitegemea ki- uchumi, anayetulazimisha kuwa mashoga atajiuliza mara mbili mbili kabla ya kutwambia. Tupiganie hayo maawili
   
 13. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  inaonyesha ni jinsi gani wanaiamini cdm ndo maana wanataka watoe tamko na ndo litakua tamko la nchi, magamba hawaaminiki tena
  PEOPLEOOOOZ
   
 14. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!
   
 15. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  1. CHADEMA siyo nchi na hawana Serikali, hata kama wananufaika na msaada huo hawapo katika tishio lolote la kuukosa na hawapaswi kutoa kauli kwa sasa.

  2. Ushoga ni utovu wa maadili na ni uovu
  kama ulivyo ufisadi. Kama wewe unaunga mkono ushoga bila shaka CHADEMA hawako pamoja na wewe.

  3. Subiri uone reaction ya Wabunge wa CHADEMA siku mswada wa kuridhia haki za mashoga utakaposhinikizwa na "wakubwa" ujadiliwe Bungeni, si unafahamu kwamba tulilazimishwa kuwa na sheria kuhusu Ugaidi, Fedha haramu nk? La ushoga liko njiani!
   
 16. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mawazo yako ni mazuri ila si kwa cdm swali lako mahali sahihi ni serekalini huko kwa Jk wao huwaga wanafanya sherehe za kuwakaribisha hao mashoga na wanabadilishana nao mawazo na wao ndiyo wanachukuaga misaada yao.
   
 17. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  na hata cdm wakitoa tamko sio kwamba serikali ndo itatekeleza kilicho semwa na cdm,kama msimamo wao utakuwa hauna mwelekeo ndipo vyama pinzani na sio cdm pekee vitaingilia kati pamoja na mashirika ya kidini
   
 18. M

  Msafwa A. Member

  #18
  Oct 18, 2013
  Joined: Sep 7, 2013
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CDM tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu! PEOPLES POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
   
 19. Nahonyo

  Nahonyo JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 2,795
  Likes Received: 1,107
  Trophy Points: 280
  Ivi hapa umechangi hii mada, au nia ilikua kuntukana huyu Rais wa nchi, na mzee wa watu. Hii sio siasa hata kama humpendi usimtukane hivi MOD'S
   
Loading...