Amewambia hatoki ng'oo wamfuate humo ndani sabab kaitoa pia kuwa huko kazin kuwatetea wateja wake, sasa nashangaa mnapiga kelele kua kaogopa kutoka angetoka kabla hajamaliza kazi yake? Lumumba mna kazi kubwa ya kuipata elimu ya utambuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata walioenda mwanzoni hawajapata ajira? M nadhani hiki suala la jkt tuliweke pembeni kwa sabab maisha sio lazima kuajiriwa. Unaweza usiajiriwe na ukafanikiwa zaidi ya alieajiriwa, mfano tu watu wengi wanaomiliki uchumi duniani ni wale ambao wana elimu ya kati na walijiajiri wenyewe...
Kwa kipindi kile ninachoelewa ni kwamba, matokeo yalitolewa kwenye radio, magazeti na kubaki kwenye vitabu vya baraza ambavyo vilikua vinatumwa shule husika. Hivyo fuatilia shule uliyosoma au kama ulikua mpenzi wa magazeti rejea nyuma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.