Ujanja huo ulishafunuliwa siku nyingi. Ati baba mwenye nyumba aliitafuta hiyo vacancy ili aingize kifaa ndani akilinde mwenyewe.
Unakumbuka ukali wake alipomleta home? Nisisikie kuwa kuna mtu anamdhalilisha huyu binti. Yupo hapa kwa shida zake anahitaji kamsaada. Mmesikia??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.