Rais magufuli yupo chato km 150 ktk bk

Rais Magufuli yupo chato sasa kwa nini haendi bk.kutoka chato na bk ni mwendo Wa masaa matano au manne .hivi anashindwaje kupitia bk kuona wahanga Wa tetemeko la ardhi? Why magufuli our lovely President.
Chato BKB ni masaa 2 max au pungufu kwa kasi ya misafara ya viongozi awamu hii!
 
Rais Magufuli yupo chato sasa kwa nini haendi bk.kutoka chato na bk ni mwendo Wa masaa matano au manne .hivi anashindwaje kupitia bk kuona wahanga Wa tetemeko la ardhi? Why magufuli our lovely President.

Kwa sasa bora asiende kabisa kwa sababu ile hamasa, shauku na matumaini imeshafifia saaana, pamebakia ukakasi mtupu na hasira za chinichini! Wengi wamebakia na bumbuwazi kwamba ni nini kimetokea mpaka ikawa hivyo!!
 
Kawasusa hao mwezi wa nne sasa huu tangu tetemeko litokee Septwember 10, 2016. Aliahirisha safari ya Zambia na Marekani ili ashughulikie wahanga wa tetemeko. Wakakusanya michango ya bilioni 16 lakini wakadai wamekusanya 5.4 billion tu na zitatumika kwenye miundo mbinu ya Serikali badala ya kuwasaidia wahanga. Hajaenda kuwapa pole wafiwa na waathirika wengine wa tetemeko. Inasikitisha sana kuona Watanzania wenzetu jinsi wanavyodharauliwa na kubaguliwa na Magufuli pamoja na matatizo makubwa yaliyowakuta.

Rais Magufuli yupo chato sasa kwa nini haendi bk.kutoka chato na bk ni mwendo Wa masaa matano au manne .hivi anashindwaje kupitia bk kuona wahanga Wa tetemeko la ardhi? Why magufuli our lovely President.
 
Kwani kuna ulazima tena...? Wasaidizi wake wameshafika huko na misaada inatolewa...
Muacheni apumzike....
 
Back
Top Bottom