Recent content by Msafi wa wasafi

  1. Msafi wa wasafi

    Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Hii fiesta sasa imekuwa ni tar 5 na 6 Na watu bado wapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. Msafi wa wasafi

    Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Man fongo na shoro mwamba watapafom asbh kwa nnavyoona... Haya yote ameyataka kiba....maana yye ndo amekuja kutupotezea muda
  3. Msafi wa wasafi

    Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    We utakuwa ni mkenya tu.... Pale mombasa ndo mlikifanya kinini....mzuka wa wabongo ni noma mno ila had wakuelewe
  4. Msafi wa wasafi

    Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Usijali na sisi tunawasubiri hao....hichi kibakuli kimekuja kutupotezea muda tu hapa
  5. Msafi wa wasafi

    Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Hiv salaam alikuwepo wap angeenda kuzima mic
  6. Msafi wa wasafi

    Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Huyu kiba anatupotezea muda tu hapa...ndo mana alizimiwa mic mombasa... Dancers kibao kama fm academia...
  7. Msafi wa wasafi

    Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Huyu kiba na mwenzio hamna hata wanachokifanya.... Ngoja waje manfongo na shoro mwamba wamfunike
  8. Msafi wa wasafi

    Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Kiba akalale tu waturudishie babylon wetu, ameondoka na hajapiga tilalila
  9. Msafi wa wasafi

    Mwanaume aliyekutoa bikra/mwanamke aliyekutoa bikra

    Inaonekana una list kubwa sana xo haujui ni yupi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. Msafi wa wasafi

    Pigo la Mwisho kwa Hillary Clinton

    Kumbe hata Marekani akina Hashim Rungwe wapo !!!!
  11. Msafi wa wasafi

    Illuminatha Dominick asiposhinda Miss Tanzania Hashim L utatumbuliwa tu

    Kama atashinda huyu ndo atakuwa miss wa kwanza mbaya... Labda tu kama itakuwa ni kwa sababu anatokea kule kwenye Airport mpya ya mkuu wa kaya....
  12. Msafi wa wasafi

    Urembo wa Picco na Henna

    Ndo nasubiri hapa kukua...
Back
Top Bottom