Recent content by ms nnana

  1. ms nnana

    Aolewa akiwa na miaka 60

    Wapo wengi waliofanya tradition tu... Mahari tu inakua imefanyika ...mikoani hasa vijijini inatokea sana... Na Mara nyinfi hufunga ndoa za pamoja kila mwaka
  2. ms nnana

    Aolewa akiwa na miaka 60

    Nakubaliana na wewe maana Ni kweli tupu.... My point is...huenda walikua wanaishi pamoja so wameamua kuhalalisha kanisani
  3. ms nnana

    Aolewa akiwa na miaka 60

    Una uhakika gani kama machine imeanza kutumika akiwa at her 60s?
  4. ms nnana

    Kwa mtazamo wangu, Haitakiwi kumsifia Makonda

    Drug lords Drug addicts
  5. ms nnana

    Mpangilio wa Mikoa kwa ubora wa ufaulu

    True... Iringa kuna shule nzuri sana... Nimesoma iringa
  6. ms nnana

    Mpangilio wa Mikoa kwa ubora wa ufaulu

    Men lie women lie but numbers never lie. Luk @ the numbers bruh!
  7. ms nnana

    Mpangilio wa Mikoa kwa ubora wa ufaulu

    Njombe na Iringa safi sana
  8. ms nnana

    Mpangilio wa Mikoa kwa ubora wa ufaulu

    Unaangalia shule au watu??
  9. ms nnana

    Kwanini ufaulu wa somo la Civics kidato cha nne mwaka huu lipo chini sana?

    Yah.. Ila na sisi wenyewe tunatakiwa kujiongeza
  10. ms nnana

    Wadada kwanini mnajiweka cheap kiasi hiki?

    Haha huyo ndio uliekutana nae yuko cheap.... Wengine wako expensive and very hard to get... Inawezekana mazingira unayojiweka pia unakutana na cheap assets
  11. ms nnana

    Raha na Faida za kuwa single kwa muda mrefu

    Being single or being in a relationship isn't a big deal here... Someone who is single might be in a relationship tomorrow....What matters the most is happiness... Whether you are single,in a relationship, married or divorced ; happiness should be your number one priority... If you ain't...
  12. ms nnana

    Kwanini ufaulu wa somo la Civics kidato cha nne mwaka huu lipo chini sana?

    Nilikua silipendi hili somo kabisa.. Nilikuaga nalisoma kwa kuzima moto... Too bad linafundishwa hadi chuo! Dah
Back
Top Bottom