Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,333
- 29,447
Umesema nini..? Kati ya Mikoa yenye population ndogo ni mikoa ya Kaskazini...Mbona mna argue like wimps,
Hata population (Idadi ya Watu), Arusha na Moshi ipo juu.
Kwaiyo kama iringa ina Wakazi Laki saba unataka idadi ya watahiniwa ufikie Arusha yenye Wakazi Milioni 3??
Kubali kuwa Kilimanjaro na Arusha Elimu inapewa Kipaumbele...
Kilimanjaro yenyewe ina Shule nyingi kuliko mkoa wowote Tanzania..Nyingi zikiwa zinamilikiwa na Mashirika ya Dini...