Recent content by Ms Mushi

  1. Ms Mushi

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa TCRA kuhusu Twitter

    Mimi mwenyewe bila VPN twitter siwezi kuingia
  2. Ms Mushi

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Wenyeviti na Wakurugenzi wa Bodi na Taasisi mbalimbali

    Unataka nipendekeze nini tena wakati mapendekezo yashafanyika? Kwamba nikitaja hapo kule kutafanyia changes ama? Au wewe ndo unakusanya data za mapendekezo
  3. Ms Mushi

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Wenyeviti na Wakurugenzi wa Bodi na Taasisi mbalimbali

    Majina ya mapendekezo tayari yapo mezani kwake
  4. Ms Mushi

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Wenyeviti na Wakurugenzi wa Bodi na Taasisi mbalimbali

    Bado Mkurugenzi wa Bodi ya Manunuzi..
  5. Ms Mushi

    JamiiForums Tanzania Kwa mliopo Mwanza, naangalia uwezekano huu nanyi mpate faraja

    "Maskini tu ndo hulewa ili wasahau shida zao. Mimi sina shida za kusahau so sihitaji kulewa." [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. Ms Mushi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

    Membe alijua mapema haya yatatokea ndo maana akaamua kampeni zake za "uraisi"zifanyike mikoa ya kusini. Kule inamfanya anakua na uwezo wa kuzunguka bila gharama nyingi[emoji16][emoji16][emoji16] Ajiloge tu aseme anazunguka nchi nzima atafia njiani kabla hajatusomea "Ilani" yote.
  7. Ms Mushi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndoa hainipi amani

    Hii ni kweli kabisa..inafika mahali unaona kama huyu mtu msumbufu..kwa "statement" yake hyo inaonyesha kabisa jamaa ana "umimi"..ni mtu ambaye anajali zaidi upande wake bila kujua mwenzake vipi..ina maana hana uhakika kama mwenzake huwa anaridhika au lah.! Kabla hujaanza kulalamika tafuta tatzo...
  8. Ms Mushi

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mbona me naziona
  9. Ms Mushi

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Huyu sijui ni Bar gan naenda za mtu 1 au 2.. Aende bar kubwa ndo arudi hapa nasio takwimu zake za vichochoroni.
  10. Ms Mushi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Nashangaa kwann asiongee kuhusu corona wakati mwanzo ilikua point yake kubwa..kuwa corona ipo na Watanzania wanakufa sana. Now hawezi ku-address tena hii issue sababu ya kampeni..hvyo ameona acha corona iendelee kutuuwa huku akinadi sera zake. #Magufuli2020
  11. Ms Mushi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

    Mfano vitu gani
  12. Ms Mushi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

    Nadhani atatoa pesa zake mfukoni kama "walivyofanya" wazungu..adanganye hao anaowadanganya
  13. Ms Mushi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

    Namsubiri akija Arusha atakua na sera gani
Back
Top Bottom