Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,706
Ipo hivi, kulikua na video youtube iliyokua inaonyesha jinsi ya kufunga twitter bahati mbaya baada ya tcra kuitumia na kufanikiwa jamaa akaifuta..
Hadi muda huu tcra wanatafuta desa jinsi ya kufungilia twitter.
Hadi muda huu tcra wanatafuta desa jinsi ya kufungilia twitter.
Mtandao wa Twitter ni nyenzo muhimu sana ya upashanaji habari kwa haraka na kuwezesha majadiliano kuhusu masuala mbali mbali ya kiuchumi, kijamii, kisiasa n.k. bila mipaka karibu ulimwenguni kote.
Kwa sehemu kubwa, kuipata au kutumia Twitter imekuwa jambo lenye ugumu kana kwamba domain ya Twitter imekuwa blacklisted au kuna hitilafu za kitaalam kwenye mifumo. Au ni simu yangu ndio ina shida?
Hii ina afya kwa ustawi wa Taifa katika zama hizi za “information age”?
Kutumia VPN ni gharama lakini pia kuna mazingira inakuwa ni kuvunja sheria.
TCRA, kwanini Twitter isiwe free na rahisi kutumia kwenye simu yangu kama ilivyokuwa mwanzo?