UTEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Wenyeviti na Wakurugenzi wa Bodi na Taasisi mbalimbali

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
960
1,000
Ila uongo mbaya kawaweka kweli waislamu; sina tatizo kubwa, ili mradi wawe na uwezo! Nadhani hapa kashindwa kwa vile; kwanza ni utaalamu; na pili, wengi wanaendelea baada ya mwaka wa kwanza.
ila huyu mama, au kiongozi yeyote mwenye dini ya kiislamu katika nchi hii, ana tabu sana kutoka kwa watu kama nyie.....yaani lazima mutafute chokochoko kwa namna yoyote ile. sidhani km ulishawahi kusema chochote kuhusu teuzi zilizokuwa zinafanywa na mwendazake kwa upande huo wa kidini. kuna waislamu wangapi unaowajua wewe ambao hawana uwezo kushika hizo nafasi za leo?!!!!!

jambo moja la kupendeza ni kuwa MUNGU MKUU huwa anaingilia kati, out of anyone's knowledge, na watu wenye ROHO MBAYA na CHUKI ZILIZOPITILIZA km nyie huwa mnaishia madaraja haya haya ya chini.....hv mtu km wewe ghafla bin vuuu uje kuwa raisi wa nchi si inawaka moto siku hiyohiyo kwa michuki hiyo maana hakuna atakayekubali kuuishi upuuzi uliyojaa kichwani mwako.

kwa nchi hii, CHUKIA WAISLAMU hadi kiwango cha mwisho cha chuki zako lakini lazimu tu utawaona na kuwasikia katika kila sekta zikiwemo za utawala!!

kwa nchi hii, CHUKIA WAKRISTO hadi kiwango cha mwisho cha mwisho cha chuki zako lakini lazima tu utawaona na kuwasikia katika kila sektazikiwemo za kiutawala!!

kiukweli nachukia sana watu WANAFIKI!!!
 

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
397
1,000
Mama Samia hana mpango na Waislamu wa Tanganyika, Yeye anateua zaidi ama Wazanzibari au Wakristo wa bara

Inaonekana anaogopa kuitwa mdini iwapo atakuwa Fair kwa watu wote.

Hili halikubaliki, Ni lazima awe fair kwa watu wote bila hofu.

Haiwezekani Waislamu wa Tanganyika wawe watoto wa kambo wenye kurukwa kwenye utumishi wa serikali!. Hili haliko sawasawa kwa sababu wenye vigezo wapo pia!
Hahahahaha mkuu umenichekesha sana
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
5,428
2,000
Utakuja kulia kwenye Wakuu wa Mikoa/Wakurugenzi/Wakuu wa Wilaya.

Hifadhi hii comment, utakuja baada ya siku kadhaa mbele kulalamika na thread ndeeefu.

Waislamu hawajawahi kuhaingaika vyeo hata siku moja na ndio maana husikii makelele ya Udini. Wanaelewa ni mambo ya kupita tu.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mbona unalia sasa
 

Ng'wale

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
3,328
2,000
Mama Samia hana mpango na Waislamu wa Tanganyika, Yeye anateua zaidi ama Wazanzibari au Wakristo wa bara

Inaonekana anaogopa kuitwa mdini iwapo atakuwa Fair kwa watu wote.

Hili halikubaliki, Ni lazima awe fair kwa watu wote bila hofu.

Haiwezekani Waislamu wa Tanganyika wawe watoto wa kambo wenye kurukwa kwenye utumishi wa serikali!. Hili haliko sawasawa kwa sababu wenye vigezo wapo pia!
Oohh sawa sawa mkuu. Mkuu na mama yetu FaizaFoxy anaweza kutuongezea mawazo zaidi sisi watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
11,773
2,000
Apo kwenye uteuz, MAMA Samia ametuliza akili Sana kwa dkt. Richard MASIKA.

Aisee,
Jamaa ni mtu smart Sana, kuanzia mavazi,kichwani mpaka rohoni.

MDA wote kanyoa, suti imenyooka , afu ananukia pafyum ya maana, kiatu kinang'aa Kama kioo.

Yaan
Ukijikuta umegombana nae, Basi ugomvi umeuanzisha wewe na yeye Hana hata muda na wewe.
Yuko bize na mambo yake, Utajistukia wee mwenyewe TU.

Afu Ni mtu na anaeenda sana na wakati, Yuko simple&systematic sn kwny kazi zake.

Ukiwa smart, innovative& updated,
Utakua rafki ake mkubwa Sana maana huwa sio mtu wa kuhusudu sana makaratasi. Ila vitendo TU.

Kama unafanya nae Kaz.
Hataki muishi maisha ya stress, ule ubahili wa kipuuz puuz wa kulishana mahindi ya kuchoma na mirinda nyeusi kwny vikao hataki ayo.

Mtakula vizur, mtalala pazuri, mtapumzika pazur na posho mtapata ya maana.

Hata
Kama bajeti haitoshi, atafight sana,
Ili mradi TU mlipwe vizuri na mfanye kazi Kwny mazingira mazuri ili mradi kazi yake ifanyike kwa ufasaha zaidi
(msilipue kazi kwa kisingizio Cha bajeti).

AWAMU ya JPM,
alitumbuliwa kimaghumashi Sana.

Bila jamaa Shaka kwa instinct zake asingeweza kuendana kabisa na Yule mzee.

Nakumbuka,
Kuna kipind alitofautiana na mzee baba kwenye mapato na matumiz ya TAASISI kisa amegoma Kuishi kwenye Kota za serikali zilizochakaa.

Na taasisi uku ikilipia kila mwezi zaidi ya dola 5000@month kugharamia Kodi,bills na matumiz mengine ya nyumba nzima ya ghorofa aliyopangisha ufukweni mwa bahari anayoishi yeye&familia yake akiwa Kama mkuu wa taasisi.

Uku wakuu wenzie wa taasisi wakitembelea kilimo kwanza, Hardbody, prado na magari mengine ya kawaida.

Jamaa alikua anatembelea zake VX V8

YAANI HATAKAGI SHIDA KABISA
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
6,390
2,000
Tupunguze maneno kwenye mitandao, tumpeni nafasi Rais afanye kazi, kazi njema.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom