Recent content by MS mam

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu Ebu tutete kidogo hapa!

    hahaaaaa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha iliyoamsha hisia "John P. Magufuli" Vs "John L. Thornton".

    Hapana...Mi siezi sema hivyo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu Ebu tutete kidogo hapa!

    Wanaume wanakosa mafunzo ya namna ya kuishi,kumlea na kumuelewa mwanamke.Mi naamini sisi wanawake ni viumbe dhaifu sana mbele yenu kama tu wanaume mtafanya jitihada za dhati kutuelewa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu Ebu tutete kidogo hapa!

    Nimekuelewa sana mamii!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu Ebu tutete kidogo hapa!

    Ule mchezo ni mzuri kaka angu na haukuna raha kama ile duniani![emoji12] lakini Wanawake huwa hautuwazishi,yaani hautufikirishi!Na ndio maana ni rahisi kwa mwanamke kukaa mwaka mzima bila kuucheza na inaweza kuwa ngumu kwa mwanamume.Na kwa sababu hiyo mwanamke anaweza cheza mechi hata ishirini...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu Ebu tutete kidogo hapa!

    Dada angu..Saula hili ni janga la dunia.kwa upande wangu mimi sipendi sana kugeneralize viti kama hivi.Kawa sababu hata sisi wanawake pia kuna wengine ni hatari.Nlishawahi kukutana na mwanamke anamnyanyasa mumewe hadi nikatamani anigawie mimi huyo kaka.Nachojaribu kusema ni kuwa sio wanaume wote...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Picha iliyoamsha hisia "John P. Magufuli" Vs "John L. Thornton".

    Kweli kabisa..Yuko very calm!sijui niseme anaonyesha kujiamini kwa hali ya juu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha iliyoamsha hisia "John P. Magufuli" Vs "John L. Thornton".

    Ila kwa upande mwingine utaona mzungu anavyobehave mbele ya mkuu wa nchi..Inaonyesha yuko obidient na tayari kusikiliza..huezi kusimama na mtu mwenye mamlaka yake tena nyumbani kwake ukaweka mikono kiunoni au mfukoni.. hata kama we ndo una haki!Mi naona highest level of civilization kwa huyo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha iliyoamsha hisia "John P. Magufuli" Vs "John L. Thornton".

    kwa sura hiyo ya magu...mhhh ngaja kwanza
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni uchoyo au ni roho mbaya? au ni kutokujiamini

    well said..
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa yupo nje au ndani ya nyumba

    we unaonaje?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dotto: Kama kweli watanzania wanaumia na wizi huu wa mali za umma tuanze shinikizo la haya yafuatayo

    Mmhhh mi naona ni vyema tuakaanza kwanza kuandamana ACACIA waondoke halafu mengine yafuate..Sijawahi kuandamana tangu nizaliwe ila tukiandamana kuwaondoka hao watu nitakuwa mstari wa mbele.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya na lugha ya kiswahili

    usidanganyike na typing error kaka mkubwa
Back
Top Bottom