Recent content by Mrumbi Nunda.

  1. Mrumbi Nunda.

    Mnaoishi au mliowahi kuishi majuu malizeni ugomvi huu.

    Dominique Strauss-Kahn (Former IMF boss) na BILL CLINTON na Kimwana MONICA wote walihusishwa na kashfa za ngono kwani wao ni wamatumbi au wapogoro???? mi kwanza sijaishi na wala siishi huko lakini hizi zilizomo zimo....je zinazofanywa na watu wa hali ya chini nani anazilipoti...tazama wachina na...
  2. Mrumbi Nunda.

    Ephraim Kibonde ashindwa kumhoji mkurugenzi Vodacom kwa kiingereza

    Ni Kweli Clouds Radio yote degree ni mbili tu?????????????????
  3. Mrumbi Nunda.

    Watoto watekwa, walawitiwa na kuteswa kinyama ndani ya handaki lilipo katika msitu wa Mabwepande

    Mi naona kama bado nipo ndotoni.....ngoja niamke,hivi niliyoyasoma ni kweli au?
  4. Mrumbi Nunda.

    Huu ndio wazimu wa mifuko ya hifadhi ya jamii?

    Nalia sana na PPF kwanza kwa kuwa wao wapo kisheria kama wao wangekuwa wanafuata misingi ya kazi yao hata mwanachama asingepata shida...so naona kwenye suala hili NILIE NA PPF wao ndio watajuana na huyo muajiri coz mi sitamani hata kwenda kwenye ofisi zao.
  5. Mrumbi Nunda.

    Huu ndio wazimu wa mifuko ya hifadhi ya jamii?

    Thanks kwa kunipa mwanga mkuu nilikuwa sijui kama naweza washtaki pia
  6. Mrumbi Nunda.

    Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo agoma kusafiri kisa hana First Class ticket

    SAFI SANA...wewe ndio LA PROFESELI wa NGUVU hata ningekuwa mimi nisingepanda yaani nchi ilivyokuwa tajiri hivi afu mi waziri nipande kadaraja kawauza mitumba..------- nyie mnataka WAZIRI MUONGO afike anakokwenda akiwa amechoka nasikia ndege yenyewe viti vyake vimekaa kama vile vya CHAI...
  7. Mrumbi Nunda.

    Godwin Gondwe ndani ya SCOAN live!

    Kakataa kamera zisimmulike
  8. Mrumbi Nunda.

    Prof. Kapuya atoweka ghafla nchini. Ni baada ya kufunguliwa mashataka Polisi

    Watanzania kwa uzinzi tu MUNGU katubariki...sasa lizee kama hili lingetulia kwenye ndoa yake hizi kashfa zingeanzia wapi...lakini mijitu mizima inataka kujichanganya na vibinti sasa hata watu wakikutegea ili wakupune hutatokea wapi?
  9. Mrumbi Nunda.

    Huu ndio wazimu wa mifuko ya hifadhi ya jamii?

    Ni miezi takribani sita tangu nianche kazi mwa manufaa ya future yangu katika kampuni inayomilikiwa na mmoja wa wanasiasa ambae aliwaishika nyadhifa mbalimbali ndani ya chama na serikali hapa Tanzania..licha kutopewa stahili zangu nyingine toka katika kampuni hiyo nilishangazwa zaidi nilipoenda...
  10. Mrumbi Nunda.

    Mtachonga sana lakini URAIS 2015 lazima nitagombea tu!

    Hatuwezi kuwa na Rais asiyeweza kusimamia kile anachokiamini....mbona unaogopa kuwa muwazi utagombea kwa chama gani maana katiba ya sasa haina mgombea binafsi.
  11. Mrumbi Nunda.

    Kwanini WALIMU wamekuwa wana nafasi kubwa zaidi ya kuolewa?

    Mi mwenyewe natafuta mwalimu.....kazi zao zinawapa sifa...hakuna cha nipo night shift wala nimesafiri na boss nitarudi wiki ijayo.
  12. Mrumbi Nunda.

    Natafuta mume

    NINA SIFA ZOTE HIZO LAKINI MI NI MFUPI ZAIDI YA JOTI......ha ha ha ha wanawake bwana sasa urefu unakuongezea nini katika maisha yako...au unene wa mwanaume unapunguza jinsi ya yeye kukupende.Mapenzi ni moyo wa mtu si maumbile hizo ni tamaa
Back
Top Bottom