Huu ndio wazimu wa mifuko ya hifadhi ya jamii?

Mrumbi Nunda.

Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
15
Reaction score
1
Ni miezi takribani sita tangu nianche kazi mwa manufaa ya future yangu katika kampuni inayomilikiwa na mmoja wa wanasiasa ambae aliwaishika nyadhifa mbalimbali ndani ya chama na serikali hapa Tanzania..licha kutopewa stahili zangu nyingine toka katika kampuni hiyo nilishangazwa zaidi nilipoenda kudai mafao yangu katika mfuko wa PPF ambao sheria ilinilazimishe nijiunge nao.

Majibu ninayo yapata toka kwa watu hawa wa PPF yananinyima matumaini ya kupata stahili zangu toka kwao ambao siku chache baada ya kuanza kazi walikuja kunishawishi nijiunge nao wakiniaminisha watakuwa mkombozi baada ya kazi yangu kufika ukingoni.

MIEZI SITA imepita sina dalili za kupata pesa zangu na kinachonishangaza kila nikienda eti naambiwa NENDA KWA MWAJIRI WAKO UKAMWAMBIE ALETE MICHANGO YAKO nawakafika mbali majuzi wakaniambia eti MWAJIRI WAKO NI MSUMBUFU inabidi UVUMILIE HADI ATAKAPOLETA MICHANGO YAKO.

Wadau naomba mnisaidie kwa stahili hii nifanyeje ili nipate haki yangu?na je sheria ya hii mifuko inamtaka mwanachama akamdai boss wake wa zamani michango yake?msaada tafadhali.
 
Ni miezi takribani sita tangu nianche kazi mwa manufaa ya future yangu katika kampuni inayomilikiwa na mmoja wa wanasiasa ambae aliwaishika nyadhifa mbalimbali ndani ya chama na serikali hapa Tanzania..licha kutopewa stahili zangu nyingine toka katika kampuni hiyo nilishangazwa zaidi nilipoenda kudai mafao yangu katika mfuko wa PPF ambao sheria ilinilazimishe nijiunge nao.
Majibu ninayo yapata toka kwa watu hawa wa PPF yananinyima matumaini ya kupata stahili zangu toka kwao ambao siku chache baada ya kuanza kazi walikuja kunishawishi nijiunge nao wakiniaminisha watakuwa mkombozi baada ya kazi yangu kufika ukingoni.MIEZI SITA imepita sina dalili za kupata pesa zangu na kinachonishangaza kila nikienda eti naambiwa NENDA KWA MWAJIRI WAKO UKAMWAMBIE ALETE MICHANGO YAKO nawakafika mbali majuzi wakaniambia eti MWAJIRI WAKO NI MSUMBUFU inabidi UVUMILIE HADI ATAKAPOLETA MICHANGO YAKO.

Ndugu yangu pole sana kwa madhila yanayokukuta. Kisheria, wewe huwajibiki kufuatilia michango toka kwa mwajiri wako. Mfuko ndio wenye wajibu huo kisheria, an pia Mfuko una mamlaka ya kisheria ya kumshtaki mwajiri endapo atachelewesha au kutokuwasilisha michango yako PPF. Hivyo basi, nakushauri utafute mwanasheria akusaidie kuandika kusudio la kuushtaki Mfuko kwa kuchelewesha mafao yako. Hiyo ni haki yako ya kisheria bwana. Wasikusumbue ilhali umesota kuitafuta hiyo pesa.

Pole sana.
 
Thanks kwa kunipa mwanga mkuu nilikuwa sijui kama naweza washtaki pia
 
Ni miezi takribani sita tangu nianche kazi mwa manufaa ya future yangu katika kampuni inayomilikiwa na mmoja wa wanasiasa ambae aliwaishika nyadhifa mbalimbali ndani ya chama na serikali hapa Tanzania..licha kutopewa stahili zangu nyingine toka katika kampuni hiyo nilishangazwa zaidi nilipoenda kudai mafao yangu katika mfuko wa PPF ambao sheria ilinilazimishe nijiunge nao.
Majibu ninayo yapata toka kwa watu hawa wa PPF yananinyima matumaini ya kupata stahili zangu toka kwao ambao siku chache baada ya kuanza kazi walikuja kunishawishi nijiunge nao wakiniaminisha watakuwa mkombozi baada ya kazi yangu kufika ukingoni.MIEZI SITA imepita sina dalili za kupata pesa zangu na kinachonishangaza kila nikienda eti naambiwa NENDA KWA MWAJIRI WAKO UKAMWAMBIE ALETE MICHANGO YAKO nawakafika mbali majuzi wakaniambia eti MWAJIRI WAKO NI MSUMBUFU inabidi UVUMILIE HADI ATAKAPOLETA MICHANGO YAKO.
Wadau naomba mnisaidie kwa stahili hii nifanyeje ili nipate haki yangu?na je sheria ya hii mifuko inamtaka mwanachama akamdai boss wake wa zamani michango yake?msaada tafadhali.

Pole sana mdau, kama jamaa wa PPF wanakurudisha kwa mwajiri wako ukalete michango fahamu ya kwamba hiyo kampuni uliyokuwa ukifanya nao walikuwa hawakupelekei michango yako ya pension.Kimsingi kampuni inapaswa kupeleka michango ya pensheni ya kila mfanyakazi wake kila mwisho wa mwezi bila kufail,sasa ikitokea kwamba kuna mwezi ulirukwa michango haikupelekwa PPF lazima wagome kukulipa hadi huo mchango wa mwezi husika utakaporejeshwa. Cha msingi sasa ivi ni wewe kurudi kwa mwajiri wako wa zamani hasa hasa mhasibu wa mishahara akupe receipt zote za michango ambayo ililipwa kuanzia ulipoajiriwa mpaka ulipoacha kazi,then angalia kama jina lako lilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wanapelekewa michango?kama sivyo ama kama kuna mwezi ulirukwa ongea na mwajiri wako huo mchango upelekwe haraka ili upate stahiki yako bila kuchelewa.
 
Ndugu yanga Mrumbi Nundu. dawa unayo hutaki tu kuitumia. unajua siafu wanaweza kumtoa nyoka pangoni na kumuangamiza. kinachohitajika ni umoja tu. wewe mtaje mmiliki wa kampuni na kampuni yenyewe hapa. kwa umoja we jf. Kapuya yuko wapi ? Tumempiga exile
 
Nalia sana na PPF kwanza kwa kuwa wao wapo kisheria kama wao wangekuwa wanafuata misingi ya kazi yao hata mwanachama asingepata shida...so naona kwenye suala hili NILIE NA PPF wao ndio watajuana na huyo muajiri coz mi sitamani hata kwenda kwenye ofisi zao.
 
Back
Top Bottom