Recent content by mrsmau

  1. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana nimefurahi juu yako
  2. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pole sana, mdogo wangu alipigwa hizi not selected for oral interview hadi akakata tamaa na ilifikia hadi mtoto wa aunt yangu akawa anamtania binti wa not selected maandishi mekundu upo lakini selected for oral moja tu ilimpa kazi sa hivi yupo tra simiyu huko...na alipiga interview nyingi sana...
  3. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hiki ndicho kitatokea watadhibitiwa mno usahili utakuwa wa haki kabisa wala watu wasiogope sio kila siku ni jumamosi japo mapungufu huwa yapo lakini yatakuwa ni madogo madogo sana ambayo hata utumishi yatakuwepo tu
  4. M

    TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

    Mi pia nahisi hivyo sidhani kama ni mambo ya usagaji itakuwa wamepiga dili wakadhulumiana labda wakawa wanajibishana shit wakaona isiwe shida na kama unavyojua serikali ina mkono mrefu sana watawakamata tu wauwaji japo inaweza kuchukua muda kama hawakuacha simu maana waliokamatwa ni mafundi sasa...
  5. M

    TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

    Itakuwa ila nimeumia jamani wamemuua kikatili sana no matter what ....hakustaili hayo mi nahisi ni mambo ya kudhulumiana madili labda si unajua watu wa procument kwa madili nae alikuwa na kaubabe flani huenda walipiga dili ila wakazinguana yani roho imeniuma sana
  6. M

    TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

    Ni yeye ameuwawa kweli ila chanzo hakijulikani wamemuuwa kwenye boma lake allokuwa anajenga jana usiku sasa kugundulika mafundi wamegundua asubuhi walivyofika maana unaambiwa jana jioni alienda kuwalipa mafundi na alikuwa amevaa zake dera na ndio hata picha akiuwawa zipo hivyo hivyo na pia...
  7. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Umetisha aisee hongera kwa uthubutu ila wengi huwa ni maneno tu
  8. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hahaha sijawahi kusikia mtu kagoma kwenda huwa ni mbwembwe tu za mtandaoni mfano sisi kwenye halmashauri yetu sijaona kama kuna mtu hajaja nimewaona
  9. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Na pia siwezi sema kwamba mda na lga zile kazi zimeanza kutoka may b huyu mhasibu aliwahi kufanya interview zingine za nyuma pia akawepo database ila leo tu nilikuwa na afisa utumishi nikamwambia umeona tumeletewa watumishi wengi mno kama 8 hivi alkiwemo na mchumi akasema ndio tuliomba hapa juzi...
  10. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mimi naomba niseme upande wa mhasibu daraja la 2 yeye ni waliofanya interview za mda na lga na hata mtu akiserch atamkuta na ameajiriwa kwenye halmashaur yetu kama atapenda kuja basi nina imani j3 ataripot na ni wale waliofanya Nov 23 zile za cpa
  11. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Huwa anateuliwa afisa mmoja kutoka utumishi anaenda halmashaur husika kwenye hizo interview za watendaji na hata za mkataba za halmashaur huwa anakuja na analipwa posho na halmashaur husika ila kuhusu maswali anatumiwa asubuhi na tume ya utumishi kabla ya interview kuanza na kufungua maswali ili...
Back
Top Bottom