Recent content by Mrs minel

  1. M

    Naomba msaada wa afya naombeni msaada

    Please km upon regency njoo wodi no 5 naitwq mariam 0764 214031
  2. M

    Naomba msaada wa afya naombeni msaada

    Nipo wodi namba tano wodi ya kawaida female
  3. M

    Naomba msaada wa afya naombeni msaada

    Naomba unipigie 0764214031
  4. M

    Naomba msaada wa afya naombeni msaada

    Mimi sihitaji hela shida ni kwamba oxygen yangu inashuka huku still niko kwenye oxygen leo iko 68 inaniogopesha sana natamani kuhama hospitali ila sina wa kunisimamia nitoke hapa hiyo ndio shida yangu sina ndugu wa kunisemea hapa nitoke hapa hospitali
  5. M

    Naomba msaada wa afya naombeni msaada

    Nimeweka no yngu hapo mm natka nitolewe hapa regency 0764214031 mm niko wodini shida yangu nataka nipewe rufaa niende hospitali nyingine ninatumia bima ya nhif
  6. M

    Naomba msaada wa afya naombeni msaada

    Je mloganzila ni mpaka nipewe rufaa au naweza kwenda tu direct nikalazwa
  7. M

    Naomba msaada wa afya naombeni msaada

    Mimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila maana naona hapa sipati huduma nzuri sina mtu wa kunisaidia kutoka hapa ninatumia bima ya nhif ya...
  8. M

    Tatizo la Kuvimba Miguu na kua na Donda NDUGU Kidonda ambacho hakiponi hata kwa Dawa Gani, Sababu huwa ni Nini?

    My dear kama unataka kupona hicho kidonda nicheck ndani ya miezi mitatu kitaisha kabisa mimi ilikua bado kidogo nikatwe mguu
  9. M

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Jc kwenye mna maisha ya kizungu ndomana wakamuelewa miryam licha ya tofauti yenu ya umri kazi ipo ukweni kwako coz ni familia ya kiswahili
  10. M

    Ninazuiwa kupata uhamisho kazini, nifanye nini?

    Habari walimu wenzangu, najua mpo. Mimi nilifuatilia uhamisho direct mwenyew Tamisemi kwa Katibu Mkuu kutokana na changamoto za maradhi. Nilitumia vyeti vya hospitali kumuomba Katibu Mkuu hatimaye akanipa kibali, sasa huku halmashauri kwangu Afisa Utumishi amegoma kunifungia data kuwa mpaka...
  11. M

    JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

    Jamani tufundishane namna ya kupata mbanga wengine hela zipo ila hatujui pa kuanzia
  12. M

    Naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya barua pepe (email)

    Habari wakuu, Nilikua naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya Email. Naomba mnielekeze jinsi ya kutuma unavyo upload barua na viambata vyote. Asanteni.
  13. M

    Ushauri asomee nini

    Habari ndugu zangu naombeni ushauri Nina mdogo wangu amepatq hizi marks form 4... division 4 ya 29, civics f, history d, geography d, kiswahili c, English d, chemistry f, biology d, math f....nataka kumtafutia chuo je anaweza kusomea nn kwa marks hizo maana Sina ninalo lijua Nisaidieni
Back
Top Bottom