Habari wadau, naomba ushauri kati ya tiles na kioo bora nianze kuweka kipi kwenye nyumba yangu.
Ila nyumba nimeshahamia nimo ndani humo humo ninawaomba ushauri vyote ni muhimu ila bajeti sio rafiki.
Asanteni
Naombeni msaada wa kiushauri kutokana na bajeti yangu ni ndogo na nahitaji kuhamia kwangu haraka inavowezekana nahitaji angalau nifanye vitu viwili kati ya hivyo vitatu je nifanye nini na nini na nini naweza kukiacha nikafanya nikiwa na nafasi kimfuko.
Kati ya tiles, Aluminium windows na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.