Recent content by mrpeople

  1. M

    Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

    Hongera dadangu maamzi sahihi sana tu. Kuna wakati ukingoja waje watachelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Arusha: Kigogo wa madini ya Tanzanite amtwanga risasi Mkewe na kujaribu kujiua

    Huo uzembe kabisa, kamaliza risasi bila mafanikio. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

    Mke wako au kimada?? Tuanzie hapo kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Mtandao wa Airtel una shida gani?

    Bora umesema, Airtel Morogoro mjini mtandao hauna nguvu kabisa unasoma E. Biashara ya mtandao inahitaji umakini na mtapoteza wateja wenu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Wanaume acheni huu uchafu

    We uko mkoa gani ambako chooni hakuna Jaba la maji na kikombe huko?? Maana umenipa wakati mgumu kidogo kwenye hoja yako. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Simba yaelekea kupata aibu kwa Mwakalebela

    Hahaaaaa natamani nicheke ila ukiona mtu mzima amechuchumaa ujue kaona aibu yupo uchi. Mtasubiria sana watani maana hata barua yenu mliyopeleka FIFA sijui iliishia wapi?? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Ulishawahi kumuota nani humu JF?

    Khantwe Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Mpenzi amefumania message za mapenzi

    Aliyesababisha ndo huyo komaa nae Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Nahitaji ushauri wenu wakuu nimepata supprementary

    Supplementary ni mdudu mbaya sana chuo kikuu aisee na hupaswi kudharau somo lolote hata liwe jepesi kiasi gani. Ds ndo soma kilaza kwa chuo ila huwa linakwamisha watu wengi sana kupata vyeti. Ilikuwa ikifika kipindi cha mitihani napambana haswaaa na asante Mungu sijui maumivu hayo kabisa ila C...
  10. M

    I'm looking for matured Man to be my husband

    Hongera sana Depal Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Kwanini Klabu ya Yanga ina nicknames nyingi kuliko Mahasimu wao Simba?

    Mashabiki wa simba siku hizi tunaogopa kuwatania maana mkitaniwa mnarudisha misaada mliyopewa na yanga. Hivyo kuwatania simba ni sawa na kuandaa makaburi kwa kutarijia umauti wa kila siku. Tigopesa fc Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Chonde Chonde kwa aliye karibu na uongozi wa Simba Sports Club au msemaji wao Manara aifikishe kwao taarifa hii muhimu sana

    Hahaaaaa thread za simba nyingi sana za kujihami ila mtakufa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Chonde Chonde kwa aliye karibu na uongozi wa Simba Sports Club au msemaji wao Manara aifikishe kwao taarifa hii muhimu sana

    Hakuna majibu ya 1 au 2 kwenye hesabu. Point ur answer specifically Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Chonde Chonde kwa aliye karibu na uongozi wa Simba Sports Club au msemaji wao Manara aifikishe kwao taarifa hii muhimu sana

    Kwaani ile ya tarehe 4.01. 2020 ilikuwaje kile kikosi. Naona viti ving'olewa tena taifa. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Chonde Chonde kwa aliye karibu na uongozi wa Simba Sports Club au msemaji wao Manara aifikishe kwao taarifa hii muhimu sana

    Sasa kama mechi ya jumapili ni nyepesi na rahisi mbona unatumia nguvu nyingi sana kupanga kikosi?? Madhara ya kuingia na matokeo ni makubwa sana ikiwa ni pamoja na kutuharibia viti vyetu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom