Recent content by MrIsidori

  1. MrIsidori

    JamiiForums Tanzania Fahamu kupika Vitumbua vya aina mbalimbali

    Naomba anayejua namna ya kuchoma au kupika vitumbua anielekeze tafadhali
  2. MrIsidori

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Barley

    Mwenye hiyo ngano hapo juu nahitaji ya ku-prout fodder kwa ajili malisho ya mifugo anijulishe na bei anayouza kwa kilo moja, niko Moshi . Tel no 0714-600802
  3. MrIsidori

    JamiiForums Tanzania NIDA Kama Mtu hana kitambulisho cha kuzaliwa lazima alipe 5,000/= kwa hakimu kuapa?

    Watu wengi waliokwenda kujiandikisha Kitambulisho cha uraia huku Moshi Vijijini Kata Ya Kibosho Kati wamerudi baada ya kuambiwa kama hawana vyeti vya kuzaliwa walipe shs 5,000/= hakimu ili waape!
  4. MrIsidori

    JamiiForums Tanzania Chama cha wapangaji chakataa madalali

    Umeme huku kwetu Moshi Vijijini unaongoza kwa kukatika wakati kiuno hauna!
  5. MrIsidori

    JamiiForums Tanzania Hivi STAR TV ndio imekufa au inajiandaa kulipa kodi ya TRA?

    Hizo bilioni 4.5 anazodaiwa Dialio na TRA ni za mda gani?
  6. MrIsidori

    JamiiForums Tanzania Kokorikoooooo!!!

    Imebidi niwaamshe watu wote leo kwa sababu Majogoo yote jana Siku Kuu yameliwa yakaisha!
  7. MrIsidori

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fremu Ya Duka

    Ndo maanake, inajulikana !
  8. MrIsidori

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fremu Ya Duka

    Natafuta fremu ya duka ya kupangisha maeneo ya Stand ya mabasi ya Arusha No Yangu Ya Simu 0765-604750
  9. MrIsidori

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) hiki hapa

    Kama mkataba wa ITPL unaishia 2022 na leseni akanyimwa itakuwaje?
  10. MrIsidori

    JamiiForums Tanzania TEMEKE, DAR: Mjane aangua kilio hospitali baada ya kujifungua mapacha 4, asema hawezi kuwalea

    Eee Mungu mpe nguvu Ashura moyo na nguvu apate watu wa kumsaidia Amen!
  11. MrIsidori

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke unaweza kupata mimba bila kupata hedhi?

    Tufananulie Mkuu akapime mkojo ili iweje!
  12. MrIsidori

    JamiiForums Tanzania Sperm analysis

    Kama hapo hospitali kuna examination room unazungumza na dr wanakupa kifaa cha kuwekea mnaingia na wife zikikaribia kutoka unachomoa unazielekeza kwenye kifaa ulichopewa unazikimbiza maabara!
  13. MrIsidori

    JamiiForums Tanzania Sina kitambulisho cha mpiga kura nitafunguaje a/c equity bank?

    Nenda hapo waeleze tatizo lako la kutokuwa na kitambulisho cha kura. watakuelewesha kinachotakiwa
  14. MrIsidori

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona

    Wameshiba Mkuu ndo maana wana furaha
Back
Top Bottom