Brilliant internationary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 301
- 193
Habari za kuisoma namba wandungu mim naomba kuuliza mwanamke kama ametoka kwenye uzazi yani amejifungua anaweza kupata mimba tena bila kuingia kwenye hedhi?Na je anapata hedhi muda gan baada ya kujifungua?