Sperm analysis

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
9,428
27,065
Hello jf doctors...

Naomba wajuzi wa hili likipimo wanijuze, na gharama zake zipoje na hospital gan wanakipima kwa ufasaha zaidi..

Akhsanteni
 
Akhsante ndugu.

Nilifanikiwa kupita tmj , wameniambia ni 45,000 . Ila mtiti ni kwamba lazima nikatoe wareno pale pale,

Kupiga chaputa hospitali duuh
OK, yeah utapiga nyeto tu kwani siku moja tu utadhurika? Kwanini umeenda kupima Sperm analysis? Hujampa mimba Shem Muda mrefu au
 
Kama hapo hospitali kuna examination room unazungumza na dr wanakupa kifaa cha kuwekea mnaingia na wife zikikaribia kutoka unachomoa unazielekeza kwenye kifaa ulichopewa unazikimbiza maabara!
 
Hapo walichodai ni CHAPUTA tu hakuna namna, ... Ila fresh ntakumbukia boarding tu.
 
Kama hapo hospitali kuna examination room unazungumza na dr wanakupa kifaa cha kuwekea mnaingia na wife zikikaribia kutoka unachomoa unazielekeza kwenye kifaa ulichopewa unazikimbiza maabara!
Hichi kitu ciwezagi aiseeh naona kama naumia ....
 
Akhsante ndugu.

Nilifanikiwa kupita tmj , wameniambia ni 45,000 . Ila mtiti ni kwamba lazima nikatoe wareno pale pale,

Kupiga chaputa hospitali duuh
Azitakiwi zikae zaid ya masaa mawili sababu hua wanaangalia motility,viscosity,volume na vingnevyo so ukitolea home huenda ukazichelesha hospitali.kwa iyo ndio hivyoo.hongera kwa kupima mkuu.
 
Back
Top Bottom