Recent content by mrembowangu

  1. M

    JamiiForums Tanzania I know am guilty, help me get out of this mess

    Safi sana Lara 1...Wanaume ni wajinga sana hasa waliooa., atakutajia matatizo kedekede ya mkewe kumbe mmama wa watu hana shida yoyote na hiyo yote ni ili apate anachokitaka,. Yaaahhh ni kumchuna vizuri abaki mweupe na kumuacha, hapo ndo anakuja kujua thamani ya mkewe,Kwel mapenz hamna ni usanii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Certification ipi?

    Ninavyojua hizo zimebase sana kwenye biashara na zinakuwa na faida zaidi kwa watu ambao wamesoma Busness adm, Accntcy tofauti na mtu ambaye degree yko ni Edctn, Embu mention hzo nyngne unazojua nijaribu kugoogle
  3. M

    JamiiForums Tanzania Certification ipi?

    Achilia mbali CISA, CPA..etc, Je kuna certification nyingne yoyote ambayo watu wa Education wanaweza kusoma, ambayo inarelate na maswala ya Elimu?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama wewe tangu january mpaka sasa...........

    Asante sana Mungu, Hakuna usiloliweza chini ya jua.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kusafisha nyota

    Mungu aepushie mbali kwa kweli.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kusafisha nyota

    Ningekuwa ni mim mwenyew ningekuwa na full details kwa ninaloenda kulifanya., so nisingehitaji ushauri, Kifupi ni Ubavu wangu wa pili anataka kufanya kitendo hcho.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kusafisha nyota

    Samahanini sana na sina uhakika kama hii topic inastahil kuwa jukwaa hili ila nimeweka huku sababu wataalam weng wa mambo most of time wapo available sana jukwaa hili Back to topic, Hivi hii dhana ya kusema kwenda kusafisha nyota yako ili ufanikiwe katika mambo yako kama Kifedha, kikazi au hata...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nufaika na mafuta ya MISKI

    Duuhhh hiyo username imenkumbusha kamto marire ka kijijini kwetu moshi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nafikia uamuzi wa kuvunja ndoa jamani!Naombeni ushauri wenu wenzangu!

    Nimependa ushauri wako, mim pia ntaufanyia kazi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo Ualimu

    Asante mkuu kwa ufafanuzi wako, je waweza chukua mkopo benki labda mbil kwa wakat mmoja?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo Ualimu

    Hiv kwa mtu anayeanza ajira ya ualimu kwa level ya degree anauwezo wa kuchukua mkopo benk baada ya mda gani na kiwango cha mwisho anachotakiwa kupewa mkopo ni sh ngap?Ukilinganisha na mshahara anaopata kwa level ya degree?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nitoke nje ya ndoa?

    Mmmhhhhhh... Lait huyo mkeo tungempa nafasi na yey ajielezee nahis angesema meng sana unayomfanyia, wanawake tuna huruma sana na mpaka mtu akifikia hatua anakuonaona tu kam mtu na viugomvi bas ujue na wew unatatizo sema ndo hvyo wanaume mnapenda ubabe na kuonekana hamtendewi haki
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natamani .........., natamani ......., natamani..........

    Pole,kwa stor zko za nyuma inaonyesha mateso na huzuni za nyuma zilikufanya ukaingia kweny ulimwengu mwingne ambao nw ndo unaujutia,Sory for that.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimrudie Tena?

    Tatizo watu tunajiendekeza sana, what is kupenda wakat unayempenda hana muda na wew,Tupilia mbali uko fanya yako, maisha yenyew haya mafupi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimrudie Tena?

    Ur welcom., Wanaume ni kuishi nao kwa akili sana, mda mwingine me nawaonaga kama wanyama tu na roho zao za ajabu. Wew deal na mambo yako na fight uwe na maendeleo kias kwamba akikutana na wew atoe macho tu.
Back
Top Bottom