ndugu yangu usimsaidie shetani kuupoteza ulimwengu,huko nikwashetan kama unaona mambo ayaendi sawa nenda kwenye maombi mungu ni very honest yataisha haraka,by the way all such stuff people are doing if no repentence you must pay back to hell one day
cha' mimi namtegemea Yesu tu, Yeye aweza yote.
Kama we ni mfuasi wa Lucifer endelea huo ni ushauri, una maamzi ya kuchukua au kuuacha.
nguvu za giza mafanikio lzm yaende na hasara jiandae kupoteza mmoja wa uwapendao ni weww mwenyewe hakuna mtu wa karibu wala nini
udiwani tu? Hutaki cheo kikubwa zaidi?
dunia alipewa lucifer, ukihitaji vya duniani malaika wake wanakusafishia nyota mambo yako yanakuwa safi.
Kama unazijua kazi za malaika, zinaweza fanywa pia na hawa wa upande wa pili.
ataambiwa amtoe mtu wa karib na hapo automatically utakuwa niwewe manake wewe ni ubavu wake
na dunia hii kwa sasa inaongozwa na ibilisi muove hata dini nyingi bandia ni sehemu ya huyo jamaa
Kwa ufahamu wangu kuna watu wana nyota nzuri kali zenye nguvu kubwa na wengine wana nyota dhaifu na watu wengine wana mikosi, sasa ukienda kumlala mwenye nyota yake mbona kila ukifanyacho kitaenda utaaanza mpaka kuwatukana wenzako hawana mipango na ukimkuta mwenye nyota mbaya ama mikosi mbona utajuta kila kitu kinabuma unaweza hata kufa jamaa mkishalalana hapo hata uoge haibadili chochoteSamahanini sana na sina uhakika kama hii topic inastahil kuwa jukwaa hili ila nimeweka huku sababu wataalam weng wa mambo most of time wapo available sana jukwaa hili
Back to topic, Hivi hii dhana ya kusema kwenda kusafisha nyota yako ili ufanikiwe katika mambo yako kama Kifedha, kikazi au hata kimapenzi inakuwaje? Na jee huko kwa mtaalamu anayekusafishia hyo nyota hamna mambo ya kafara yanaweza kufanyika?
Ni kitu kinaniumiza sana kichwa sababu anayehitaji kusafishiwa ni mtu wa karibu sana na nahofu kama kuna kafara mmoja wa familia akadhurika na kafara hiyo.
Please nisaidieni kwa mnaotambua juu ya hiyo kitu.
duhKwa ufahamu wangu kuna watu wana nyota nzuri kali zenye nguvu kubwa na wengine wana nyota dhaifu na watu wengine wana mikosi, sasa ukienda kumlala mwenye nyota yake mbona kila ukifanyacho kitaenda utaaanza mpaka kuwatukana wenzako hawana mipango na ukimkuta mwenye nyota mbaya ama mikosi mbona utajuta kila kitu kinabuma unaweza hata kufa jamaa mkishalalana hapo hata uoge haibadili chochote