Jiandae kuwa chakula ya wote kama ana Dada zake au wadogo zake wa kike, hawana shida wanagawana upendo. Tena anakwambia msaidie ndugu yangu ana hamu, makabila mengine raha sana
Umezingua yaani ndo maana ukamwagiwa chai, huwezi kuongelea issue za kufa wakati mwenzio mjamzito, ulikuwa unapeleka ujumbe gani?
Mkuu jitahidi kukomaa unaonekana bado una utoto.
Mkuu Sema zaidi kuhusu wewe, dini, unapenda nini hupendi nini na je upo tayari kuishi na mwanaume ukamheshimu na kumsikiliza ili yeye akupende kama maandiko yanavyotaka?
Ndoa ni mambo mengi lazima uainishe, sisemi vigezo ila taswira ya maisha ya ndoa unayoyahitaji
Move on, hamna mahusiano hapo, wala future hakuna hapo huyo ana interest zake kwako. Atakuja akulize vibaya sana. Jiweke busy, pata Kampany nzuri, jichanganye ili usahau. Usianzishe mahusiano mengine kwa sasa upate muda upone na upumue upate mtu sahihi.
Pole sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.