Recent content by mrelbattawy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Video: Maalim Seif Sharif Akipokelewa Kifalme katika ziara yake Unguja

    Zanzibar CUF ndo kwao.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bunge la Uingereza lajadili kuhusu Zanzibar

    mkuu maalim Seif alipigia siasa mataifa ya magharibi tokea 1992 au kabla ya hapo hivyo siasa za zanzibar Ulaya zinatambulika na kueleweka sana kwa mataifa ya nchi kama Uengereza, maalim Seif aliwekeza hilo mapema hivyo usishangae sana. Chadema na Lowassa walikuja baadae bado ni wachanga sana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pemba: Migomo Imeanza Kushamiri CUF dhidi ya CCM

    mbona povu linakutoka? Lete mtazamo wako na fikira zako nini kifanyike kwa ccm waliopo Zanzibar kupiga simu kwa wakuu wa mikoa na kuwataka waje na polisi kuwachukua wana cuf kulazwa ndani na kubambikiziwa kesi za uongo? vipi kuhusu vijana walioandaliwa ambao wanavaa soksi usoni kupita na kupiga...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kisiwani Pemba hali yazidi kuchafuka: Polisi na Majeshi yazidi kumiminika

    wewe utabaki kuwa mtumwa ndani ya nchi yako mpaka leo hujuwi taifa lako ni lipi, ni aibu kuwa hujuwi identity yako, nationality yako Tanganyika imeporwa ni mkoloni mweusi hujui kinachoendelea upo upo tu ata unachokiandika hukijuwi. Unataka usikie unguja kumetokea nini wakati jambo lolote...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi za ZEC zapigwa komeo

    Kwani ivi Jecha yupo nchini? si nimeskia yupo Likizo kule Oman
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif asafiri kwa Boti akitokea Dar Es Salaam

    safi sana ndugu Tanganyika haiwezi kuishi ata kutimiza mlo 1 kwa siku bila ya Zanzibar, Bara inasaidiwa sana na Zanzibar kiuchumi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif asafiri kwa Boti akitokea Dar Es Salaam

    Hii ni safi sana maalim seif ni kiongozi wa watu, si mpenda makuu kama walivyo viongozi wengi wa Tanzania
  8. M

    JamiiForums Tanzania Video: Maalim Seif na mapokezi ya Kifalme Kisiwani Pemba

    Dah kweli ccm mara hii pini imewakaza zaidi, tusubiri miujiza tena na mara hii ccm waje watuambie wameshinda tena uchaguzi
  9. M

    JamiiForums Tanzania ZEC yajitoa kimasomaso kumjibu Maalim Seif juu ya tuhuma za hila za Uchaguzi Zanzibar

    Mbona waandishi walionyeshwa baadhi ya hivyo vitambulisho
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Amtaka Dr Shein ajiandae Kisaikolojia Kuikabidhi CUF Madaraka ya Uongozi

    nimeipenda hii ajiandae kisaikolojia
  11. M

    JamiiForums Tanzania CUF yatoa Milioni 15 kusaidia waathirika wa mafuriko Zanzibar

    CUF ndio habari ya mujini skuizi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharriff Hamad Kuunguruma Kitope jimboni kwa Makamo wa Pili wa Rais J'Pili hii

    maalim seif ni shujaa ccm imejimaliza sana kuendelea kuwashikilia wale masheikh nadhan ndio imeongeza nguvu sana wazanzibar kuikataa ccm
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Hakuna ''KISASI'' CUF ikishika dola Zanzibar 2015

    nimeipenda hii
Back
Top Bottom