View attachment 336988
Tathmini ya matunizi ya gharama za usafiri wa Pombe kutoka Dar es Salaam kwenda Kigali na kurudi
Gari moja kutoka tanzania kwenda Rwanda na kurudi katika msafara wa JPM lilitumia lita 1250, jumla ya magari yote yalikuwa ishirini hii inapelekea kutumia lita 25,000 ambazo zinakadiriwa kufikia hela za kitanzania 45,000,000, ifahamike kuwa magari hayo ishirini baadhi yaliondoka Dar kwenda mwanza yakiwa na dereva tu mana pombe aliondoka Dar kwenda mwanza na ndege ya rais iliyogharimu takribani milioni mia moja na thelathini na tatu, ndege ya Rais kutoka mwanza kwenda Kigali ilihagharimu mafuta ya zaidi ya tsh. Milioni sabini, gharama ya ndege kutoka Kigali hadi Rwanda ni zaidi ya Tsh. Milioni mia mbili, pia ikumbukwe kuwa msafara wa magari yaliyokuwepo Kigali yalirudi Dar es Salaam yakiwa na madereva tu
Hii inapelekea kufikia takribani fedha za kiTanzania bilioni 2.3 ukijumlisha posho, gharama za malazi na kula kwa watumishi wote waliokuwa kwenye msafara, ukitoa gharama za ulinzi mkubwa uliotumika Mwanza na ule wa Kigali msafara wa pombe unasadikiwa kutumia zaidi ya Tsh. Bilioni tatu
Huku JPM anatumia fedha nyingi zote hizo ameishia kugaiwa Ng'ombe watano wenye thamani ya Tsh. Milioni nne
Chanzo na: Ben Haidar/facebook page.